Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,324
1,377
Wakuu heshima mbele,

Kwa upande wangu hivi ndivyo ninavyomfahamu Mtafuta Urais wa JMT Mzee Edward Ngoyai Lowassa a.k.a mzee Mamvi mbunge wa Monduli mkoa wa Arusha

1) . Namfahamu Lowasa akiwa nyuma yangu chuo kikuu NI TAPELI NA MSANII BY PROFESSION

2 . Namfahamu Lowasa akiwa mkurugenzi AICC Arusha aliyechota hela za WB za ujenzi wa AICC estates hususani mabarabara ya estate ya KIJENGE

3 . Namfahamu Lowasa wa Boyz - 2 -Men ambao walikataliwa na marehemu JKN kwa sababu nzuri tu kuwa hawakui wanajilimbikizia mali kwa kutumia nafasi zao za uongozi . Au tuseme wanatumia vibaya nafasi zao za uongozi kwa madhilaya nchi na wananchi.

4 Namfahamu Lowasa wa Richmond na Dowans

5 . Namfahamu Lowasa ambaye hakukutana na JK barabarani

6 . Namfahamu Lowasa anaehongo viongozi wa dini mbali mbali na boda boda ili uaupate urais

7 . Namfahamu Lowasa anaecheza faulo za uchaguzi Monduli ili mradi CCM ionekane inashinda na vyombo vya dola vinamlinda kwenye kufanya hayo

8 . Namfahamu Lowasa mwenye ukwasi wa kutisha ( aliotuibia kama nchi ) ambao umefanikisha kuwanunua wajumbe corrupt wa CC na wa mkutano mkuu ili wampitishe kwenye kugombea urais .

9 . Namfahamu Lowasa mgonjwa ambae yuko tayari suala la urais limtoe roho

10 . Namfahamu Lowasa ambaye CCM nzima inamgwaya wanshindwa kumuwajibisha

11) Alijimilikisha shamba la Bwn Miller Kijenge
Mwanama, akaweka PPF complex.

12).Akachukua Jumuiya Tour akaform
Leopards Tours.

13).Akatuingiza mkenge wa RICHIMOND,
DOWANS, HADI SYIMBION mpaka leo tunalia
na charge za TANESCO!!

14) Akahamisha fedha kununua majumba
matatu London kwa mpigo, Fred
akakamatwa huko ikaonekana fedha ni za
familia ya Lowasa!!

15).Anamiliki hisa za kibabe AirTel, Voda etc
kupitia CO ya Alphatel!!

16). Ni mtu hatari muulize S Kubenea ya
tindikali, mbunge Nasari karibu auwawe kule makuyuni kwa amri ya Eddo.

Wewe unamfahamu vipi Eddo..?

NB: wewe team lumumba buku saba mnaojadili watu na kubariki maovu ya mafisadi kana kwamba wote sisi hatuoni. Nakushauri anza na hatua ya kwanza uwe mkweli ndani ya nafsi yako halafu uwe na mtazamo huru .

UKWELI UTAKUWEKA HURU . Achana na kuwatetea wapuuzi mafisadi kumbuka tunaaswa " YARABI NAFSI YANGU" .Unaisaliti nafsi yako kwa shirki na waovu?
.............
 
Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii................... kwanza kwa maradhi aliyonayo na hii tabia ya kufanyiwa overhaul ujerumani kila mwezi tutaingia hasara kubwa kupita hasara ya Tezi dume
 
Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii................... kwanza kwa maradhi aliyonayo na hii tabia ya kufanyiwa overhaul ujerumani kila mwezi tutaingia hasara kubwa kupita hasara ya Tezi dume

Nini kinamuuma?
 
Ww nan tuseme na ya kwako... Huna jpya kwahyo unafahamu mabaya tu.. Kwa hali hyo haumfahamu wananchi wanamjua hata kuliko ww kawaulize jimbon kwako..., halafu cyo wote wanajua lumumba mm mwananchi wa kawaida lakin nakuona umejitoa akili hutaki kusema mazur yake.. Fool
 
Sisi wanyonge ambao mishahara yetu ya malimbikizo hatujalipwa zaidi ya miaka minne imepita hadi leo hatujalipwa tegemeo letu ni lowasa tu ndiye mwenye uwezo wa kuwabana wakurugenzi.nje ya c.c.m ni dr. Slaa tu. Ni wawili tu ambao ndiyo tegemeo letu.yakale yamepita
 
Ww nan tuseme na ya kwako... Huna jpya kwahyo unafahamu mabaya tu.. Kwa hali hyo haumfahamu wananchi wanamjua hata kuliko ww kawaulize jimbon kwako..., halafu cyo wote wanajua lumumba mm mwananchi wa kawaida lakin nakuona umejitoa akili hutaki kusema mazur yake.. Fool

haha mbona unatoka povu hivyo umekunywa OMO ..!!! tuwekee mazuri yake hapa
 
Lowasa ni mjeuri na wala haogopi mtu katika kufanya anayotaka Na ni mtu wa visasi pia ,CCM ikijitusu kumpitisha na akafanikiwa kuukwaa uraisi basi viongozi mbalimbali wa chama na serikali ambao wamekuwa kikwazo kwa mbio zake za uraisi watakoma
 
Ww nan tuseme na ya kwako... Huna jpya kwahyo unafahamu mabaya tu.. Kwa hali hyo haumfahamu wananchi wanamjua hata kuliko ww kawaulize jimbon kwako..., halafu cyo wote wanajua lumumba mm mwananchi wa kawaida lakin nakuona umejitoa akili hutaki kusema mazur yake.. Fool

Mabaya yake yana uzito kuliko mazuri yake ndio maana ni vigumu kuyasikia mazuri yake, cha msingi elewa hatutaki rais fisadi
 
Mleta mada umeonyesha chuki binafsi.

Maana unajifanya unamfahamu Lowassa, lakini hujaweka ushahidi wowote wa tuhumu unazomtwisha!

Hizo porojo zenu hazimzuii Lowassa kuwatumikia watanzania kama mkuu wa nchi ifikapo October.
 
Mnamchafua ila atajisafisha siku moja tu... Rubbish mtatoa mapovu mpaka mwishiwe la kusema... He can be if he needs.. Siasa za chuki huwa zitaingiza nchi kweny migororo.. Many you are very short sighted.
 
Mleta mada umeonyesha chuki binafsi.

Maana unajifanya unamfahamu Lowassa, lakini hujaweka ushahidi wowote wa tuhumu unazomtwisha!

Hizo porojo zenu hazimzuii Lowassa kuwatumikia watanzania kama mkuu wa nchi ifikapo October.
Ni ndoto za mchana
 
Back
Top Bottom