Hayati Lowassa Tembo wa Siasa za Mipango na Ushindani, mwana Demokrasia

Nov 6, 2016
52
141
BURIANI MH EDWARD LOWASA.

Na Comrade Ally Maftah

Nachukua nafasi hii kutoa pole sana kwa Familia ya Hayati Edward Lowasa. Kwa maumivu niliyonae juu yake yeye ambae ni sehemu ya waalimu wangu wa siasa namkumbuka kwa elimu zake zifuatazo

1. SIASA ZA UPENDO NA UPANGAJI WA SAFU KATIKA CHAMA NA SERIKALI.

Moja kati ya mambo makuu kabisa niloyojifunza kutoka kwa Hayati Lowasa ni uwezo wake wa kuona mbali na kupanga safu za uongozi na kuunda mtandao wa kisiasa ndani ya chama na serikali, kuna sura ukitazama suala hili nina uhusiano wa moja kwa moja na siasa za upendo na kusaidia watu, wakati mwana siasa unapanga safu ndio unakuwa umetoa fursa kwa wenzako kwa kuwapa msaada katika kujipachika kwenye nafasi za kisiasa na kiserikali, ndio maana aliweza kusumbua chama katika uchaguzi wa 2015, alikuwa ana watu wengi ambao aliwagusa maisha yao moja kwa moja kwa nafasi walizokuwepo.

SIFA ZA ZIADA ZA HAYATI EDWARD LOWASA

UVUMILIVU, MAAMUZI MAGUMU, UKIMYA, USIRI, KUJALI MASLAI YA TAIFA, KUTOWEKA KINYONGO, KULINDA MARAFIKI ZAKO, KUREJEA KUNDINI

PUMZIKA LOWASA UMEUPIGA MWINGI

Na Comrade Ally Maftah
Mwana SIASA wa AINA YAKE

IMG-20240211-WA0010.jpg
 
View attachment 2900145
R I P comrade ENL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom