Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,233
Ingelikuwa vizuri kuwasaidia Polisi Tanzania kwa kuwanunulia chopa bab kubwa yenye camera etc. kurahisisha shughuli zao za usalama lakini matapeli jinsi wanavyotafuna fweza za walipa kodi sioni kama itafanya kazi inayokusudiwa ya kuwasaidia walalahoi kwenye kupunguza matatizo yao.