Kuna tatizo la kiufundi mahali kwenye kizazi hiki tukubali au tukatae au ni njia mpya ya siasa?

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,608
17,795
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete.

Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia.

Kukiwa na Sukari imeletwa na serikali bhasi utasikia "Tunamshukuru Samia" ikinyesha Mvua Tunamshukuru Magufuli kwa mvua"..

Kuna yule jamaa Mwaka fulani ilitokea kupatwa kwa Jua kama siumbuki mwala 2017 bado akasema anamshukuru Magufuli kwa kuleta kupatwa kwa Jua.

Hii kitu iko serious na inapunguza uwajibikaji kwa Viongozi.

viongozi wengi wanaowajibika hawatafuti kusifiwa sana bali wanatafuta kuacha Legacy.

Au mimi ndo Nimezeeka na sijui modern political zinaendaje?

Sikuwahi kuona Mkapa akisifiwa na ndo alifanya makubwa sana pengine kuliko hata Marais wote..

Nyerere alikuwa na honorary PhD ila hakuwahi kukubali kuitwa Dr Nyerere, Mwinyi alikuwa na PhD ila hakutka kuitwa Dr Mwinyi, Mkapa alikuwa na PhD naye pia hakutaka.

Tatizo liko wapi..
Vipi mbona Ruto ana PhD na sijawahi kusikia akiitwa Dr Ruto..
Hivi ni mimi ndo sielewi au uzee ndo unanichanganya?
 
.Nyerere alikuwa na honorary PhD ila hakuwahi kukubali kuitwa Dr Nyerere, Mwinyi alikuwa na PhD ila hakutka kuitwa Dr Mwinyi, Mkapa alikuwa na PhD naye pia hakutaka..

Tatizo liko wapi..
Vipi mbona Ruto ana PhD na sijawahi kusikia akiitwa Dr Ruto..
Hivi ni mimi ndo sielewi au uzee ndo unanichanganya?
Kwani Rais Samia ndio anataka kuitwa Dr?, ni wahitaji ndio wanaomuita!. Hata hivyo tumeshauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
 
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete..

Vipi mbona Ruto ana PhD na sijawahi kusikia akiitwa Dr Ruto..
Hivi ni mimi ndo sielewi au uzee ndo unanichanganya?

Bahati mbaya sana, baadhi ya wanasiasa wanatamani kutawala badala ya kuongoza...hivyo wanaamini, sifa yoyote inayoheshimika kijamii wanastahili kuwa nayo!

Mfano, jamii yetu (yote) ingewainua viongozi wa dini bila matabaka, isingeshangaza baadhi ya wanasiasa kujiita Shekhe, Askofu, Alhaj etc. kwa vile jamii yetu imewainua Doctors (hasa clinical scientists), wanasiasa wameona mwanya wa kujiinua kwa cheo (title) hiyo ili wawe credible (mahsusi). Inashangaza na kusikitisha.

Nionavyo, viongozi wa zama hizi self esteem yao iko chini sana. Wanapata ugumu kujipambanua binafsi mpaka walazimishe titles. Laiti wangelazimisha titles huku wakitenda kwa ufanisi kwa mujibu wa titles wanazogombea pengine ingekuwa na tija.

Itoshe kusema "Kila zama na Kitabu chake"(Mwinyi, 2015, Jangwani, Dar es Salaam).
 
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete..

Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia..
Kukiwa na Sukari imeletwa na serikali bhasi utasikia "Tunamshukuru Samia" ikinyesha Mvua Tunamshukuru Magufuli kwa mvua"..

Kuna yule jamaa Mwaka fulani ilitokea kupatwa kwa Jua kama siumbuki mwala 2017 bado akasema anamshukuru Magufuli kwa kuleta kupatwa kwa Jua..

Hii kitu iko serious na inapunguza uwajibikaji kwa Viongozi..

viongozi wengi wanaowajibika hawatafuti kusifiwa sana bali wanatafuta kuacha Legacy...

Au mimi ndo Nimezeeka na sijui modern political zinaendaje?

Sikuwahi kuona Mkapa akisifiwa na ndo alifanya makubwa sana pengine kuliko hata Marais wote..

Nyerere alikuwa na honorary PhD ila hakuwahi kukubali kuitwa Dr Nyerere, Mwinyi alikuwa na PhD ila hakutka kuitwa Dr Mwinyi, Mkapa alikuwa na PhD naye pia hakutaka..

Tatizo liko wapi..
Vipi mbona Ruto ana PhD na sijawahi kusikia akiitwa Dr Ruto..
Hivi ni mimi ndo sielewi au uzee ndo unanichanganya?
Nyerere kasifiwa na vimeingia kichwani Kama dini,ni Mungu mtu,kiasi hawezi kosolewa kwa baadhi ya watu,na ukimkosoa unatazamwa kwa jicho la malaika wa motoni
 
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete..

Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia..
Kukiwa na Sukari imeletwa na serikali bhasi utasikia "Tunamshukuru Samia" ikinyesha Mvua Tunamshukuru Magufuli kwa mvua"..

Kuna yule jamaa Mwaka fulani ilitokea kupatwa kwa Jua kama siumbuki mwala 2017 bado akasema anamshukuru Magufuli kwa kuleta kupatwa kwa Jua..

Hii kitu iko serious na inapunguza uwajibikaji kwa Viongozi..

viongozi wengi wanaowajibika hawatafuti kusifiwa sana bali wanatafuta kuacha Legacy...

Au mimi ndo Nimezeeka na sijui modern political zinaendaje?

Sikuwahi kuona Mkapa akisifiwa na ndo alifanya makubwa sana pengine kuliko hata Marais wote..

Nyerere alikuwa na honorary PhD ila hakuwahi kukubali kuitwa Dr Nyerere, Mwinyi alikuwa na PhD ila hakutka kuitwa Dr Mwinyi, Mkapa alikuwa na PhD naye pia hakutaka..

Tatizo liko wapi..
Vipi mbona Ruto ana PhD na sijawahi kusikia akiitwa Dr Ruto..
Hivi ni mimi ndo sielewi au uzee ndo unanichanganya?
Kizazi hiki cha zama za Uchawa, Boss husifiwa hata akifanya ujinga au asipofanya chochote kabisa
Hizo ni ajira za watu Mkuu tambua hilo.
 
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete..

Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia..
Kukiwa na Sukari imeletwa na serikali bhasi utasikia "Tunamshukuru Samia" ikinyesha Mvua Tunamshukuru Magufuli kwa mvua"..

Kuna yule jamaa Mwaka fulani ilitokea kupatwa kwa Jua kama siumbuki mwala 2017 bado akasema anamshukuru Magufuli kwa kuleta kupatwa kwa Jua..

Hii kitu iko serious na inapunguza uwajibikaji kwa Viongozi..

viongozi wengi wanaowajibika hawatafuti kusifiwa sana bali wanatafuta kuacha Legacy...

Au mimi ndo Nimezeeka na sijui modern political zinaendaje?

Sikuwahi kuona Mkapa akisifiwa na ndo alifanya makubwa sana pengine kuliko hata Marais wote..

Nyerere alikuwa na honorary PhD ila hakuwahi kukubali kuitwa Dr Nyerere, Mwinyi alikuwa na PhD ila hakutka kuitwa Dr Mwinyi, Mkapa alikuwa na PhD naye pia hakutaka..

Tatizo liko wapi..
Vipi mbona Ruto ana PhD na sijawahi kusikia akiitwa Dr Ruto..
Hivi ni mimi ndo sielewi au uzee ndo unanichanganya?
Dr Mambo Jambo, kwanza rekebisha hii kasumba iliyowakumba waliyo wengi ukiwemo wewe ya kuona ufahari kwa kujiita Dr. Mambo. Ni kweli kama ulivyosema kuna tatizo pahala. Dr. Musukuma, Dr. Mwaka, Dr. Taletale, Dr. Samia, Dr. Kikwete nk. Lakini sijawahi sikia Dr. Donald Trump, Dr. Bush, Dr. Tohn Brair, nk na mbaya zaidi hata uko Hindia wanakogawa hizi PhD sijawahi sikia wakiwagawia hao viongozi wao.

Kama ulivyosema uongozi wa Mkapa ulifanya mambo mengi pamoja na kwamba hakuwai kuitwa Dr. Mkapa. Kasumba ya sifiasifia ilihasisiwa kipindi cha Kikwete na kuja kuimarishwa kwa kiwango cha juu na mwendazake. Sababu kuu ilikuwa moja, ukimsifia na/au ukatukana wapinzani ilikuwa ticket ya kupata uteuzi. Hivyo imekuwa mwendelezo. Nakumbuka ilifika wakati hadi mwendazake akaitwa mh. Mungu, wengine wakamfananisha na Yesu na wengine Mtume Muhammad.

Tunajuwa serikali hipo kwa ridhaa ya wananchi na inatekeleza miradi au huduma kwa kodi za Wananchi. Unaweza vipi kuipa sifa ATM baada ya kutoa fedha yako wewe mwenyewe? Hata kama ni sifa basi zitolewe panapostahili, lakini kinyume chake hizo sifa utolewa hadi kwenye maamuzi ya ovyo. Na viongozi walishajuwa ujinga huu, wanakolezea palepale.
 
Suala la kwamba Mkapa alifanya mengi sana kuliko wenzake ni DEBATABLE. Je unajua yeye ndiye aliyeuza Mashirika yetu yote kwa bei ya kutupa. Mfano Benki yoye ya NBC kwanei ya Jengo la Makao Makuu. Mashirika mengine kama TRC, ATC akayaacha mpaka yakafa kisubiria kuuzwa.

Nyumba za Serikali ziliuzwa kwa bei ya kutupa kwa wafanyakazi wa Serikali, wastaafu, viongozi wa Chama mpaka wahuni.

Yeye pia alianzisha Kampuni tanzu ya Madini ya Jeshi (Meremeta), ikaingia ubia na kampuni binafsi Africa ya Kusini wakawa wanapeleka madini South Africa kwa ukaguzi hafifu. Halafu mtu fulani kajenga 5 Star Hotel huko Bondeni kutoka na biashara hiyo.

Hiyo Statement yako ipime tena kwa kuwa na taarifa za uhakika.
 
Mkuu Mimi sio PhD holder wala Honorarity holder..
Mimi ni Doctor By proffesional (Medical Doctor), Jina hili huwa haliji hivi hivi mkuu Lazima usote!

NI worldwide Lazma tutumie Preffix ya Dr!

Kuhusu Hayo mengine nakuumga mkono kabisa 100%
 
Suala la kwamba Mkapa alifanya mengi sana kuliko wenzake ni DEBATABLE. Je unajua yeye ndiye aliyeuza Mashirika yetu yote kwa bei ya kutupa. Mfano Benki yoye ya NBC kwanei ya Jengo la Makao Makuu. Mashirika mengine kama TRC, ATC akayaacha mpaka yakafa kisubiria kuuzwa.

Nyumba za Serikali ziliuzwa kwa bei ya kutupa kwa wafanyakazi wa Serikali, wastaafu, viongozi wa Chama mpaka wahuni.

Yeye pia alianzisha Kampuni tanzu ya Madini ya Jeshi (Meremeta), ikaingia ubia na kampuni binafsi Africa ya Kusini wakawa wanapeleka madini South Africa kwa ukaguzi hafifu. Halafu mtu fulani kajenga 5 Star Hotel huko Bondeni kutoka na biashara hiyo.

Hiyo Statement yako ipime tena kwa kuwa na taarifa za uhakika.
Mashirika yote Na Taasisi zote za serikali unazoziona leo zinakusanya mapato au zinafanya vizuri kwa asilimia 90 zilianzishwa enzi za mkapa..

So kama unataka tu Debate kuhusu Hilo lets Go..
But huo ni ukweli usiopingika
 
Suala la kwamba Mkapa alifanya mengi sana kuliko wenzake ni DEBATABLE. Je unajua yeye ndiye aliyeuza Mashirika yetu yote kwa bei ya kutupa. Mfano Benki yoye ya NBC kwanei ya Jengo la Makao Makuu. Mashirika mengine kama TRC, ATC akayaacha mpaka yakafa kisubiria kuuzwa.

Nyumba za Serikali ziliuzwa kwa bei ya kutupa kwa wafanyakazi wa Serikali, wastaafu, viongozi wa Chama mpaka wahuni.

Yeye pia alianzisha Kampuni tanzu ya Madini ya Jeshi (Meremeta), ikaingia ubia na kampuni binafsi Africa ya Kusini wakawa wanapeleka madini South Africa kwa ukaguzi hafifu. Halafu mtu fulani kajenga 5 Star Hotel huko Bondeni kutoka na biashara hiyo.

Hiyo Statement yako ipime tena kwa kuwa na taarifa za uhakika.
Husiangalie maamuzi ambayo mwishoni hayakuzaa matunda tarajiwa. Nia ilikuwa nzuri lakini pangine utekelezaji ulikuwa na kasoro lakini cha msingi hakuwa na nia mbaya au maslahi binafsi ndani yake.

Ben alikuwa muasisi wa mpango wa maendeleo wa muda mfupi na mrefu na mifumo unayoina leo. TRA, TAKUKURU nk. Ni tofauti na wenzake maDr. ambao wengine waliongoza kwa matamko na wengine kwa maslahi binafsi walihamua kufifisha mifumo na taasisi alizozianzisha Ben.
 
Attachments

  • Screenshot_2023-08-17-16-20-00-45.jpg
    Screenshot_2023-08-17-16-20-00-45.jpg
    45.7 KB · Views: 4
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete.

Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia.

Kukiwa na Sukari imeletwa na serikali bhasi utasikia "Tunamshukuru Samia" ikinyesha Mvua Tunamshukuru Magufuli kwa mvua"..

Kuna yule jamaa Mwaka fulani ilitokea kupatwa kwa Jua kama siumbuki mwala 2017 bado akasema anamshukuru Magufuli kwa kuleta kupatwa kwa Jua.

Hii kitu iko serious na inapunguza uwajibikaji kwa Viongozi.

viongozi wengi wanaowajibika hawatafuti kusifiwa sana bali wanatafuta kuacha Legacy.

Au mimi ndo Nimezeeka na sijui modern political zinaendaje?

Sikuwahi kuona Mkapa akisifiwa na ndo alifanya makubwa sana pengine kuliko hata Marais wote..

Nyerere alikuwa na honorary PhD ila hakuwahi kukubali kuitwa Dr Nyerere, Mwinyi alikuwa na PhD ila hakutka kuitwa Dr Mwinyi, Mkapa alikuwa na PhD naye pia hakutaka.

Tatizo liko wapi..
Vipi mbona Ruto ana PhD na sijawahi kusikia akiitwa Dr Ruto..
Hivi ni mimi ndo sielewi au uzee ndo unanichanganya?
Wala sio Uzee maana umesema umepata utambuzi kipindi cha mwisho cha Nyerere 😂🙏
Je sisi tulikuwepo madarasani wakati tunapata uhuru ??! 😂😅🙏

Hii mambo haikuwepo kabisa,
Tumebaki tunashangaa tu na kusema Hiiii 🙄🙄🙄 !
 
Mkuu TATIZO ni kubwa VIJANA wengi wamezaliwa hiki kipindi cha uzazi wa mpango Vidonge vimeathiri UBONGO na Viungo vyao

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wala sio Uzee maana umesema umepata utambuzi kipindi cha mwisho cha Nyerere 😂🙏
Je sisi tulikuwepo madarasani wakati tunapata uhuru ??! 😂😅🙏

Hii mambo haikuwepo kabisa,
Tumebaki tunashangaa tu na kusema Hiiii 🙄🙄🙄 !
Mkuu Mzee wa Shy!

Habari za Hapo Shy..
Ndembezi,Ngokolo, Matanda, Chamaguha ,Dodoma, kambarage ,Ndala, lubaga wanasemaje..

N kweli kabisa mkuu!
kipindi cha Miaka ya 82 nilikuwa nina miaka 13 miaka ya Nyerere Ya mwisho mwisho miaka ya 84 na 85 nilikuwa na miaka ya 15 na 16 ..

Hivyo ndo kipindi nilichoshuhudia maana miaka ya 64 ,65 na 66 kwakweli sikuwepo...

ukiniambia utoto wangu wa miaka ya 70s Nilikuwa sina Uelewa wa kujua hata Nchi inaendaje..

Hahaha kama miaka ya 60 ulikuwa Darasani..
Mkuu shikamoo kaka
 
Tatizo wanaita watu hivyo sijui Dr bado huku mtaani unajikuta unaitwa boss hata hauna pesa yaani balaa..
 
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete.

Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia.

Kukiwa na Sukari imeletwa na serikali bhasi utasikia "Tunamshukuru Samia" ikinyesha Mvua Tunamshukuru Magufuli kwa mvua"..

Kuna yule jamaa Mwaka fulani ilitokea kupatwa kwa Jua kama siumbuki mwala 2017 bado akasema anamshukuru Magufuli kwa kuleta kupatwa kwa Jua.

Hii kitu iko serious na inapunguza uwajibikaji kwa Viongozi.

viongozi wengi wanaowajibika hawatafuti kusifiwa sana bali wanatafuta kuacha Legacy.

Au mimi ndo Nimezeeka na sijui modern political zinaendaje?

Sikuwahi kuona Mkapa akisifiwa na ndo alifanya makubwa sana pengine kuliko hata Marais wote..

Nyerere alikuwa na honorary PhD ila hakuwahi kukubali kuitwa Dr Nyerere, Mwinyi alikuwa na PhD ila hakutka kuitwa Dr Mwinyi, Mkapa alikuwa na PhD naye pia hakutaka.

Tatizo liko wapi..
Vipi mbona Ruto ana PhD na sijawahi kusikia akiitwa Dr Ruto..
Hivi ni mimi ndo sielewi au uzee ndo unanichanganya?
Tatizo lilianza kipindi Cha mAGufuli, polepole na bashiru, walipotumia mabilioni kununuaa wapinzani Ili waunge mkono juhudi
 
Back
Top Bottom