Hivi ndege ya rais aliyonunua Mkapa iko wapi?

Ingelikuwa vizuri kuwasaidia Polisi Tanzania kwa kuwanunulia chopa bab kubwa yenye camera etc. kurahisisha shughuli zao za usalama lakini matapeli jinsi wanavyotafuna fweza za walipa kodi sioni kama itafanya kazi inayokusudiwa ya kuwasaidia walalahoi kwenye kupunguza matatizo yao.
 
Muulize jk mwenyewe s.africa na ujerumani 2007 alitumia ndege gani? Jk anaitumia sana ndege ile na hata safari zake za mwaka huu amesafiria sana na ni miongoni mwa mwa watu wanaoikubali ndege hiyo kwa jinsi ilivyo na uwezo mkubwa sana.sasa unapomzushia kuwa mkuu kuwa hajawahi kuitumia hata siku mmoja?!!!
ile ndege haitumiki, ................kikwete hajawahi kuitumia hata siku moja, ...................ina tatizo la kuyumba angani .......................hivi karibuni ilipata ajali ya kugongwa na gari na bado nhaijatengenezwa achilia mbali kuoshwa kupunguza vumbi........... Ukitaka kuiona nenda karakana ya tgfa karibu na terminala one jnia ............ Kwa maelelz zaidi juu ya nini kilichoisibu, wasiliana na tgfa sokoine drive, dar................
 
It doesn't make sense, unaenda ulaya most probably kuomba hela halafu unapanda ndege "ya raisi"? Akipanda first class za commercial airlines hatafika?
Ni sawa na ombaomba umkute pale Salender lakini amepiga Tuxedo ya nguvu
 
Hijayeyushwa tutengeneze nondo? I mean it is not scraper yet?
unajua mimi hata picha yake tu siijui, ningetamani siku moja kama ningeona hata kapicha tu ka ndege hiyo ya mabilioni. nitajaribu kwenda kwenye hiyo karakana nikaione kwakweli.
 
JAMBO lingine muhimu kwa nchi yetu ni kuwa rais anahitaji helikopta maalum....wakipata moja ya rais ,nyingine ya security detail na nyingine makamu/waziri mkuu/mawaziri..itasaidia sana kurahisisha utawala......pia itasaidia nchi iwe kiganja.....ndani ya mwezi mmoja rais anaweza kuamua kulala katika ikulu zake zote [nchi nzima]....bila kuhitaji ziara maalum au kuchoka....,na pia itaondolea wananchi adha ya foleni....hata marekani ili rais anatumia helicopter ...anaweza kufanya kazi DC akalala Kemp david au sehemu yeyote yenye makazi yake bila kuhitaji kutangaza ziara rasmi...hata majirani zetu kenya na uganda wanatushinda ....state house zao wanazo helicopter za kisasa kabisa....zinazoenda kasi..za utawala mbali ya zile za jeshi,polisi na askari wanyamapori....Tanzania yetu hata ndesamburo anakuwa na helicopter nyingi kuliko serikali....shame!!! he have two..police have one working...,and jeshi have one or two working...,watu wa misitu[tanapa] hawana...wana ndege ambayo haukuwa uamuzi mzuri ukizingatia diverity ya mbuga zetu na unajuwa hakuna airstrip kwetu....sometimes they need to innoculate animals huwezi kufanya na ndege..poor planning!!
We mshkaji mzima kweli wewe!!
 
Ingelikuwa vizuri kuwasaidia Polisi Tanzania kwa kuwanunulia chopa bab kubwa yenye camera etc. kurahisisha shughuli zao za usalama lakini matapeli jinsi wanavyotafuna fweza za walipa kodi sioni kama itafanya kazi inayokusudiwa ya kuwasaidia walalahoi kwenye kupunguza matatizo yao.
Chopa yenye kamera ya kuangalia nini? wapika gongo? au wala unga?

hiyo chopa inaweza kumkamata fisadi?, inaweza kumkamata DED anayekula hela allocated kwa maendeleo wilayani?
 
Huyu Jamaa Mjanja sana, amegundua njia nzuri ya kutengeneza pesa bila kelele ni safari, anakamata PERDIEM zake, anaruka siku 10(Mamilioni), anarudi anapoa. Anazugazuga siku mbili tatu huyo anapepea, Perdiem Kibao. Baada ya Miaka mitano kwisha? Ana ngapi?
 
Kwani Per diem ya raisi ni shing ngapi?
 
ile ndege haitumiki, ................kikwete hajawahi kuitumia hata siku moja, ...................ina tatizo la kuyumba angani .......................hivi karibuni ilipata ajali ya kugongwa na gari na bado nhaijatengenezwa achilia mbali kuoshwa kupunguza vumbi........... ukitaka kuiona nenda karakana ya TGFA karibu na terminala one JNIA ............ kwa maelelz zaidi juu ya nini kilichoisibu, wasiliana na TGFA sokoine drive, dar................

Mkuu ni vizuri kupata DATA kwanza ndio utoe mchango.. usiipotoshe jamii.. Hii ndege aina ya G550 registration 5H-ONE ipo na inaruka kama ndege nyingine. Jan ilikuwa Tripol na Zurich, Feb ilikwenda Jordan na Turkey na mwezi huu ilikwenda Windhoek.. Kweli iligongwa na gari la usalama kama mwaka na nusu hv au miwili iliyopita, na ilishatengenezwa kwani haikuharibika sana na iligongwa kwenye BAWA..
 
It doesn't make sense, unaenda ulaya most probably kuomba hela halafu unapanda ndege "ya raisi"? Akipanda first class za commercial airlines hatafika?

Atafika Mkuu.. Ila gharama INAWEZA ikawa juu zaidi kuliko kutumia ndege ya Rais.. Kwa harakaharaka. Nauli ya 1st class ni kama US $ 4000.00 kwa mtu mmoja.. Msafara wake waweza kufika watu 15 hv.. unategemea serikali italipa kiasi gani? wakati akitumia ndege yake, gharama hiyo haiwezi fika.
 
unajua mimi hata picha yake tu siijui, ningetamani siku moja kama ningeona hata kapicha tu ka ndege hiyo ya mabilioni. nitajaribu kwenda kwenye hiyo karakana nikaione kwakweli.

kitu hicho hapo mkuu ... ingechorwa yule mnyama wetu mwenye shingo ndefu ingekuwa ya ukweli zaidi! Ila imetulia jamani!
 
Attachments

  • tz_gulfstream1.jpg
    tz_gulfstream1.jpg
    5.5 KB · Views: 70
  • tz_gulfstream2.jpg
    tz_gulfstream2.jpg
    5.6 KB · Views: 56
  • tz_gulfstream3.jpg
    tz_gulfstream3.jpg
    3.3 KB · Views: 53
  • tz_gulfstream4.jpg
    tz_gulfstream4.jpg
    6.8 KB · Views: 61
  • tz_gulfstream5.jpg
    tz_gulfstream5.jpg
    6.6 KB · Views: 53
  • tz_gulfstream6.jpg
    tz_gulfstream6.jpg
    6.7 KB · Views: 53
  • tz_gulfstream7.jpg
    tz_gulfstream7.jpg
    3 KB · Views: 52
  • tz_gulfstream8.jpg
    tz_gulfstream8.jpg
    7.4 KB · Views: 42
  • tz_gulfstream9.jpg
    tz_gulfstream9.jpg
    55 KB · Views: 55
  • tz_gulfstream10.jpg
    tz_gulfstream10.jpg
    5.6 KB · Views: 57
no no no no nooooooooo uooongooooooo!!!!!
Huo ni ukweli kaka Kikwete safari zake zote anatumia kipanga cha fokker si ile jet stream kwanza akiingia yeye na walinzi tu kanatosha na unajua msafara wa mzee mzima unavyokuwa mkubwa na waandishi na walinzi na mawaziri. wanatumkia fokker kikwete hajatia ndani ndani ya Jet stream
 
Si kweli Mkuu... Hii F50 hutumia kwenye safari za nchini na fupi fupi..Na hiyo G550 huitumia sana kwenye safari ndefu Broda..(red...ni GULFSTREAM si jetstream)
 
Atafika Mkuu.. Ila gharama INAWEZA ikawa juu zaidi kuliko kutumia ndege ya Rais.. Kwa harakaharaka. Nauli ya 1st class ni kama US $ 4000.00 kwa mtu mmoja.. Msafara wake waweza kufika watu 15 hv.. unategemea serikali italipa kiasi gani? wakati akitumia ndege yake, gharama hiyo haiwezi fika.

Nakataa...ndege ile inakula mafuta mengi sana na hivo gharama yake kiuendesahaji ni kubwa mno.Vilevile inahitaji usalama kila iendapo nayo ni gharama...inabeba maximum watu 10 kwa hiyo bado watu wengine watakwaa ma commercials tu...
 
Hii ndege inabeba watu 18 na sio 10 kama unavyosema, na gharama ya kiundesheji sio kubwa kama mnavyosikia mtaani.. Inakula mafuta less than 2000lb per hr inaporuka ukilinganisha na BOEING za Air Tanzania zinazokula zaidi ya 2000kgs per hr.. (gonga g550 specification)
 
Tusibishane mkubwa boya wewe hapa http://www.gulfstream.com/products/g550/specifications.htm hiyo yako haibofyeki.....wana sema inabeba 8 pax...hii ni business jet siyo precisionair
 
Back
Top Bottom