Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
Kwakweli wanaume kwa kulalamika siku hizi mnajitahidi sana! Gazeti we ongea tu ila baadae utume na hela ya bundle!
heee! Unachagua hadi pa kwenda! Lol, nitakuhonga hadi pale uwezo wangu utaishia. Uje na mama rocky.
aaaaggh! Unaniweza bwana. Lol.
Seriously mkuu hii level nayo ipo!
yaani rocky pia inablock hapohapo mwaka mzimaDuh wewe ni balaa huo ubahili na kubana matumizi kumezidi mkuu
Inaonekana siku simu yako ikiwekewa 10,000 inaweza jishisi imekosewa na imekuja kimakosa
Wewe ni mtu wa $,£, euro, yen, rand sasa mimi na madafu yangu na sijui zimbabwe dollar au kwacha nitaweza wapi bana
Mh! Mwee.
Halafu wewe lol!!!!yaani rocky pia inablock hapohapo mwaka mzima
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi kuomba salio
kwa wapenzi wao, ajabu ni kwamba huwa hampigi simu
bali mmezoea kubeep, tena hata ukitumiwa salio bado utabeep
Asubuhi tu umetuma 5,000 Jioni anakubeep, bado kumpigia?
Kwakweli wanaume kwa kulalamika siku hizi mnajitahidi sana! Gazeti we ongea tu ila baadae utume na hela ya bundle!
Ha ha haaa angalau wewe umejibu kidogo kama inakuja kuja vile,Nampigia baba na Mama, rafiki na mashoga zangu mpenzi.
Wewe "nakudip" tu kwa sababu wewe na mimi ni kitu kimoja.
Wambie mdogo wangu, una buzi lako linatuma 50,000, wewe ukituma hako ka 5,000 unataka attention! nani
kasema! unabeepiwa ili ukate tamaa uuvute to heaven! lol
yaani rocky pia inablock hapohapo mwaka mzima