miles45
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,468
- 8,288
Ni hapo hadi mida ya mchana ulio kolea bado nilikua sijui weekend yangu naimalizia kwa nani na kivipi.
Basi kama kawaida nikawacheki wadau wangu na kuwaeleza kuwa hii weekend na wao kama hawaelewi hivi. Kiuhalisia sisi hapa viwanja vya town tuna uzio navyo. Kifupi ukinikuta nipo kiwanja chochote cha mjini basi kuna sababu maalumu ya kuwepo hapo na sio kula bata. Hii imepelekea watu wangu wa karibu kuhisi mimi ni kondoo na sina madhara kabisa.wangenijua kama mimi ni mchafu hata hao wakina baba juma majirani walio fumaniwa na mabeki tatu ni wasafi kwangu. Hata wife anatembea kwa kujiamin na amani zote kuwa mmewe ametulia.
Yaani ukimfata wife hata umueeleze nini juu yangu kuhusu kuchepuka atakukatalia hadi asubuhi maana anaamini mumewe analindwa na maombi anayo muombea kila siku asubuhi mchana na jioni kuwa mmewe hawezi chepuka.
Wakati huo deap down nikiwa nasikia hayo maombi nacheka sana kimoyomoyo ikinishinda natafuta sababu ya kucheka hivyo huwa naishiwa kuambiwa napenda kucheka vitu vya kijinga. Kumbe mwenzie nacheka mambo anayo yaomba na kinacho fanyika.( But I do love my wife I cheat for fun) sijawahi fikiri kumuongezea mke mwenzie hata siku moja wala kumpitisha katika njia mbaya kisa michepuko....cheating is just for my own uhanangwa.
Basi baada ya hayo nikawacheki wadau wangu wa kusongesha gurudumu na uchepukaji na haya ndio majibu yao
Cathe huyu alikua busy na kazi maana nilimfanyia suprise ila alikua radhi aache kazi .
Penina huyu ni kama alikua idle akaruka na fursa moja kwa moja bila excuse yoyote na tulienjoy sana.
Anet huyu alikua kachoka na shughuli za usafi ila alikua hana pingamizi .
Hivyo hata hao wote wasinge tiki mapema basi mialiko ilikua inaendelea hadi apatikane wa kutoka nae muda huo.
NB
Sio kwamba nina hela za kuwahonga hao kama vijana wengi mnavyo pigwa vizinga hata salamu mkiwa hamjamaliza ni vile tu naishi yale maisha nilio wafundisha kuyaishi ila mmegoma mnadhani mkiwa majentromeni ndio mtakuwa mnakula utelezi kumbe wapi