Hivi munampigia nani?

Hivi nyie wanaume wa dot com mbona hamuishi kulalamika? Fanyeni kazi nyie muongeze kipato sio kulilia lia kila siku kama watoto.
 
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi kuomba salio
kwa wapenzi wao, ajabu ni kwamba huwa hampigi simu
bali mmezoea kubeep, tena hata ukitumiwa salio bado utabeep
Asubuhi tu umetuma 5,000 Jioni anakubeep, bado sijaelewa hapa!
Hivi ninyi ni nani hasa huwa mnapenda kumpigia?

Una mkosi wa kukutana na viruka njia. wanawake wenye hashima zetu tunapiga bwana. Ukiona huyo ujue hakutaki anakubore ili umwache. Fanya maamuzi mapema!
 
mapenzi ya kishamba na ya zamani vocha kitu gani kitu gani wewe? watu wanaombwa vitz na wanatoa?
acha ubahili
Bebii tuko level tofauti humu wengine wanahongana prado, nyumba, gx n.k
halafu kuna level yetu ya kati ambayo ni simu, sofa kitanda n.k pia kumbuka
kuna level ya chini 1000, - 10,000. blauzi za 3000. Yeboyebo n.k
 
Hivi nyie wanaume wa dot com mbona hamuishi kulalamika? Fanyeni kazi nyie muongeze kipato sio kulilia lia kila siku kama watoto.

Wambie mdogo wangu, una buzi lako linatuma 50,000, wewe ukituma hako ka 5,000 unataka attention! nani kasema! unabeepiwa ili ukate tamaa uuvute to heaven! lol
 
kama upo hiyo level ya mwisho bora usihonge hadi uingie next level.
 
Wambie mdogo wangu, una buzi lako linatuma 50,000, wewe ukituma hako ka 5,000 unataka attention! nani kasema! unabeepiwa ili ukate tamaa uuvute to heaven! lol

hahahaha! Umeona madogo wanavyosumbua. Watu wanatuma mihela hadi unauliza hizi za kazi gani? Hahahahahaha!
 
Hivi nyie wanaume wa dot com mbona hamuishi kulalamika? Fanyeni kazi nyie muongeze kipato sio kulilia lia kila siku kama watoto.
Tatizo ni pale Wabeijing wanapolalamikia haki sawa, ndo maana
na sisi tumeanza kulalamika vinginevyo futeni kauli mwanaume
abaki na cheo chake na ile misemo ya ajabu kama mfume dume ife...
 
watu wanatoa vx wanaendesha wengine yeye buku tano tena ya tigo roho inamuuma bwana daaah

bebii wacha tuu
maana wengine kutoa hizo 5000 ni issu inatoka kwa maswali ya nini na unampigia nani
Duh balaa na dalili za kukimbiwa zipo sana
 
we mshikaji mlpare nini
buku na unauliza amempigia nani
inaelekea huyo ukiomba hela ya saluni uambatanishe na profoma invoice 3 za bei tofauti ili achague ya bei nafuu pia urudi na receipt ndo mtaelewana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom