Hivi munampigia nani?

Kwakweli wanaume kwa kulalamika siku hizi mnajitahidi sana! Gazeti we ongea tu ila baadae utume na hela ya bundle!
 
heee! Unachagua hadi pa kwenda! Lol, nitakuhonga hadi pale uwezo wangu utaishia. Uje na mama rocky.

Mhhh aahhhh mhhhh duh mbona offer na masharti sasa
Mimi nataka offer yangu na wewe na iwe hapo sitaki mambo ya samaki samaki wala hongera wala sijui wapi kule uswahilini
 
bebii wacha tuu
maana wengine kutoa hizo 5000 ni issu inatoka kwa maswali ya nini na unampigia nani
Duh balaa na dalili za kukimbiwa zipo sana
Kuna watu muanaalikwa kwenye semina Elekezi kwa
hiyo hamuwezi kuona tatizo hapo!
 
Wewe ni mtu wa $,£, euro, yen, rand sasa mimi na madafu yangu na sijui zimbabwe dollar au kwacha nitaweza wapi bana

hahahahahaha! Kila shetani na mbuyu wake.
Hivi labda niulize, unapompa hela mpenzi wako umemuhonga au umemsaidia?
 
mambo mengine kishkaji bwana, leo umemtoa mtu kesho anakutoa yeye. We unafikiri sisi hatuwatoi vivocha na vilunch? Mbona hatuji kulalamika jf?
Ha ha ha haaa wengine hiyo ni ndoto!
 
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi kuomba salio
kwa wapenzi wao, ajabu ni kwamba huwa hampigi simu
bali mmezoea kubeep, tena hata ukitumiwa salio bado utabeep
Asubuhi tu umetuma 5,000 Jioni anakubeep, bado kumpigia?

ukiona hvyo ujue unachunwa ,wanapigiwa wanaokula mzigo!
 
Nampigia baba na Mama, rafiki na mashoga zangu mpenzi.

Wewe "nakudip" tu kwa sababu wewe na mimi ni kitu kimoja.
 
ukiona hvyo ujue unachunwa ,wanapigiwa wanaokula mzigo!
Halafu utawajua tu! ukisema wanakujia juu kama moto
wa kifuu maana wanaona unataka kuharibu utaratibu wao
mara oh... wenzio vx we vocha unalalamika..............
 
Nampigia baba na Mama, rafiki na mashoga zangu mpenzi.

Wewe "nakudip" tu kwa sababu wewe na mimi ni kitu kimoja.
Ha ha haaa angalau wewe umejibu kidogo kama inakuja kuja vile,
Wenzio wameshutumu tu hapa mpaka nakumbuka kisa cha mtoto
aliyeiba sukari anaulizwa kaka yuko wapi anasema sikulamba sukari!
 
  • Thanks
Reactions: LD

Similar Discussions

Back
Top Bottom