Hivi mimi nitatosheka na mwanamke mmoja kweli...!

Mwambie tamaa mbaya sana tena kwenye karne hii utakufa mapema kwani si wanawake tu cheki model mpya za magari yaani ni balaa we ukipita na ka escudo chako hadi unaweza ukajiona ni bure kabisa.
So aangalie na kuacha hapo hapo.
 
Manuu umepona yale majeraha?
 
Mkuu Mtambuzi,
kwa kuwa wewe ni mwanangu,
lol, sijui hata huko juu nilisema nini,
nilijibu usiku nikiwa kwenye simu, sorry my son.
 
mwambie kama hatosheki na wanawake, aelekeze upepo kwa midume yenzake...! Mtu gani huyo asiyetoheka? ana pepo la uzinzi
 
huyo anaakili za beberu, ambae huona zizi lote ni lake na asitokee beberu mwingine kupanda jike hata mmoja. anahitaji maombi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom