Hivi mimi nitatosheka na mwanamke mmoja kweli...!

Hilo linaitwa pepo la ngono,kulala na zaidi ya mtu mmoja,mbaya zaidi,c mkeo wala mumeo.Chunga tamaa mbaya cna.
 
Utatosheka tuu maana hata wanaopiga puli huwa wanatosheka kuliko kawaida ndio maana baada ya muda hawawezagi kufanya mapenzi na mwanamke tena hata awe mzuri kama malaika ila kupiga puli anaweza. Hiyo ni akili yako ya tamaa za mwili tu lakini wote wako sawa tu.
Hahahahahahaaa Ndetirima hii nimeipenda sana lol
Ngoja niifanyie research
 
Last edited by a moderator:
LOL.................................................!
avatar45959_9.gif
 
Huyu jamaa yangu kwa umri alio nao angepaswa kuwa amewowa, lakini kila siku anaendela kupima.........Mara leo yuko na huyu kesha kabalidisha mwingine.....................Yaani kaazi kweli kweli


Ni umri tu kaka, muda ukifika atajikuta mwenyewe anakubali kwamba hawezi kuendelea kutangatanga kama kuku wa kienyeji!!

Babu DC!!
 
Kama uchumi unamruhusu anaweza kabisa asitosheke na hata mia, ila sasa akiwa anaangukia mikononi mwa wachunaji halafu uchumi mbovu atatosheka tu..
 
Anatumia MKUYATI

Mtambuzi umeniacha sina mbavu,na umenikumbusha mbali,hivi wewe watoka Tanga nini?.Umenikumbusha wakati ndio tunabalehe/tunakua kule Kisosora Tanga kunajamaa yetu alipata kidate na mtoto aliyemsumbua kwa muda mrefu basi akaagizia MKUYATI toka Sambaani, bwana,mbona ilikuwa tukio,mdada alikimbia na chupi kashika mkononi maana jamaa wasaa mawili hashuki na hata dalili hazikuwepo,mdada akaomba kwenda chooni ndio ikawa safari tena kwa kukimbia.
 
Mtambuzi umeniacha sina mbavu,na umenikumbusha mbali,hivi wewe watoka Tanga nini?.Umenikumbusha wakati ndio tunabalehe/tunakua kule Kisosora Tanga kunajamaa yetu alipata kidate na mtoto aliyemsumbua kwa muda mrefu basi akaagizia MKUYATI toka Sambaani, bwana,mbona ilikuwa tukio,mdada alikimbia na chupi kashika mkononi maana jamaa wasaa mawili hashuki na hata dalili hazikuwepo,mdada akaomba kwenda chooni ndio ikawa safari tena kwa kukimbia.
Mie natokea MKWAJA kule Pangani Tanga, na niliwahi kuishi Lushoto maeneo ya VUGA.............Mkuyati ni koboko ya mambo asikwambie mtu.......................
 
Niko hapa maeneo ya Mlimani City na mfanyakazi mwenzangu ambaye bado hajaoa……… Tumesimama mahali ambapo kila anayeingia na kutoka hapa Mlimani City tunamuona.................. Kuna mabinti wengi wazuri wa kuvutia wakiwa na vivazi ambavyo ukiwaangalia.............Mashaaallah, wamejaaliwa hasa........ Wenye Pedo haya wenye Skin Jinzi haya, wenye Suruwale za kubana makalioni tena mlegezo wakiwa vitovu nje nao wapo, wenye Vikuku haya wenye Viatu vya Makhirikhiri twende kazi, ili mradi kila mmoja kapendeza kama mamtoni mwanawane..................
Yule mwenzangu nilipomuangalia namuona kawakodolea macho huku domo limemlegea utadhani fisi aliyeona mnofu...............
Namuuliza, “Mwenzangu kulikoni umetoa macho kiasi hicho?”
“Aisee..... Kweli Mungu anajua kuumba, mabinti wazuri namna hii, hivi mimi nitatosheka na mwanamke mmoja kweli....................!” Alinijibu huku akiendelea kuwakodolea macho.........
Mh! Nilibaki kuguna..............

Wanawake wazuri kamwe hawataisha, na pia kuna usemi usemao kuwa bado wazuri hawajazaliwa. Namaanisha kuwa ifikiwe wakati tukubali kuwa hawa watu hatuwezi kuwamaliza na kuwapenda wote, wako wa namna nyiingi na kila mmoja wao ana uzuri wa tofauti. Cha msingi ni kuamua kuridhika na kuufundisha moyo wako ukubali na kuamini kuwa uliyenaye anatosha. Vinginevyo utajitia matatani na kukupoteza angali ukiwa kijana mdogo.
 
hebu sisi tunaojiona ni vijana wa sasa tusijaribu kutengeneza mazingira ya kutowezekana baadhi ya vitu, kwani sisi ndo wa kwanza kuishi dunia hiiii jamani, mbona tunataka kuendekeza mambo bila sababu ya maana?? wameishi mababu zetu zamani na zamani na zamani na wameweza sisi tunatofautiana nao nini, au kwa kuwa tunakula mayai ya kuku wa kisasa au mchele wa kutengenezwa viwandani?

narudia kusema ukiona wewe ni mwanaume/mwanamke uliyekamili na tena rijali unavua nguo na kuonyesha uchi wako kwa kufanya mapenzi na watu zaidi ya 2 bila sababu za msingi au maana ujue huna akili timamu. Hili halina ubishi kabisa. unaendekeza Uasherati usio na maana, kwanini usitosheke na ulie nae?? ni ujinga na upuuzi sana watu wa namna hii
 
Mwanamke mmoja huwa hatoshi, wala hakuna kitu wala uhusiano unaostay ukitosha, kwa muda. Ni wewe kuamua tu kujiwekea mipaka.
Ni ngumu sana kwa mtu ambaye amekuwa akijipatia kila kitu, kila anapotamani, bila mazoezi ya kujikatalia, atatusaidia kuwa fundisho, we mwache tu.
 
Safari moja huanzisha nyingine, hivyo mwisho wa yote ni kurudisha chenji kwani kila kukicha vinazaliwa vizuri zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom