Naona kadiri siku zinavyoenda CCM wanahangaika kujiwekea kanuni na mazingira ya wao kula hii nchi mfano mzuri ni kuanza kujipenyeza kwenye mazingira ya ulaji na si mazingira ya kumtengenezea mtanzania kujikwamua na umasikini.
2005 walihubiri sana maisha bora kwa kila mtanzania lakini kumbe kuwaneemesha matajiri wachache kama wale waliopewa viwanda vya serikali na taasisi kama TRC.
Nina wasi wasi kabla ya 2015 nguvu ya uma itafanya kazi yake kwa mtaji huu.