Hivi Maisha bora kwa kila mtanzania yameishia wapi?

KRT

Member
Feb 10, 2011
6
0
Naona kadiri siku zinavyoenda CCM wanahangaika kujiwekea kanuni na mazingira ya wao kula hii nchi mfano mzuri ni kuanza kujipenyeza kwenye mazingira ya ulaji na si mazingira ya kumtengenezea mtanzania kujikwamua na umasikini.

2005 walihubiri sana maisha bora kwa kila mtanzania lakini kumbe kuwaneemesha matajiri wachache kama wale waliopewa viwanda vya serikali na taasisi kama TRC.

Nina wasi wasi kabla ya 2015 nguvu ya uma itafanya kazi yake kwa mtaji huu.
 
si ndo haya unayoishi?hujaskia wakisema foleni ya magari dsm ni kwa sababu ya maisha bora?
 
Hii kweli kiboko, watu wanapoteza masaa mawili hadi sita pamoja na energy kweye mabasi na magari yao kila siku wao wanasema maendeleo. Tumeisha tusipoiondoa CCM
 
"Ongezeko la magonjwa ya Moyo na Kisukari ni dalili za maisha bora as people have surplus to eat"TAMBWE HIZZA

nakupima maendeleo kwa kitu kimojamoja ccm imeleta panton ccm imejenga barabara ndo sela zao..
 
Naona kadiri siku zinavyoenda CCM wanahangaika kujiwekea kanuni na mazingira ya wao kula hii nchi mfano mzuri ni kuanza kujipenyeza kwenye mazingira ya ulaji na si mazingira ya kumtengenezea mtanzania kujikwamua na umasikini.

2005 walihubiri sana maisha bora kwa kila mtanzania lakini kumbe kuwaneemesha matajiri wachache kama wale waliopewa viwanda vya serikali na taasisi kama TRC.

Nina wasi wasi kabla ya 2015 nguvu ya uma itafanya kazi yake kwa mtaji huu.
Yameishia kwenye magamba!
 
Back
Top Bottom