Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Haswaa dada yangu na ndo somo ambalo wanawake wengi tunalimiscalculate kwenye mahusiano. Wengi wetu tunaamini kuwa being a YES pesrson, an obedient woman ndo silaha ya kumfanya your man astick kwako kumbe lah!! Mwanaume anapenda mcharuko kwa maana ya kuwa mwanamke mwenye principles, a non-nonsense woman. You love me, I love you, you despise me, I despise you period. That is what Lizzy is.

Now,that is not being principled,that is another miscalculation u have made!!
That is simply being arrogant and vindictive!!
Alichokimaanisha Lizzy hapo ni kwamba sisi wanaume Tunapenda mwanamke atakayetusaidia kuona kile tusichokiuno,mwanamke who will help us read btwn the lines!!
In other words,Tunampenda Mwanamke atakayeweza kutupa Wazo mbadala katika situations mbalimbali katika Maisha!!

When we find such a woman,we fly without wings!!!
 
Na wengine wakiona hivyo wanakimbia kama hawana akili nzuri.
 
Na wengine wakiona hivyo wanakimbia kama hawana akili nzuri.

Ha ha ha ha ha,Hakika,yaani hapo mtu unakimbia huku chupi Mkononi na Makelele mengi mithili ya hayawani aliyejeruhiwa katika Mbuga ya Serengeti!

Nikimpata that type of a woman,NITAMFURUMUSHIA MAPENZI MAPENZI MPAKA ATAENDWA KULAZWA KWENYE WODI YA VICHAA!!!
Love is All We Need,Cheeeeeers!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom