Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Leo asubuhi kabla sijaanza kujiandaa kwenda kibaruani niliona post ya kusema mtu kamzimikia Lizzy, hii ni mojawapo ya string nyingi sana ambazo zimekuwa zikitangaza kumzimikia Lizzy.

Hivi Lizzy umewapa nini hawa kila siku wanatangaza kukuzimikia? Wanapenda Avatar yako au wanapenda nini kwako? Hata wale ambao hawajaanzisha thread kuhusu Lizzy bado nahisi wanakuzimikia tu hebu nao waseme nini wanakizimikia kwako?

Mi nlisjasema..........
 
Hahaha. . . .
Jr jibu hilo hapo. . . hua nikiingia JF ndo navaa.
Hahahahaaa we mtoto wa kike wewe umeipata wapi wakati kule kwenu kushakuwa mjini siku hizi!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom