Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Wengi wanaamini Lizzy yuko kama ilivyo Avatar yake. Na kama ni hivyo hata mimi natia timu kwake soonest!!!!!
 
Sasa hivi tunaandaa mazingira ya kuvunja hiyo relationship yenu... Tena kwa faida yenu wote wawili....@Musimo and Lizzy
Khaa huna lolote wivu tu unakutesa usijifanye unatujali sana, hatutakii
 
Wengi wanaamini Lizzy yuko kama ilivyo Avatar yake. Na kama ni hivyo hata mimi natia timu kwake soonest!!!!!

Wala usisumbuke maana kila kitu kiko tofauti. .

Badala ya kuwa kipotable ni bonge la jimama, nimejichubua kidogo, kichwani mawigi sitoi alafu mfupiii.
 
...unajitetea ee? ha ha ha....hata ukipunguza 'maksi,' hivyo hivyo watu watatia timu!
 
Hahahah. . . Mbu hujaona watu wanavyolalamika kuhusu avatar na mtu kutofautiana? Bora niwaeleze mapema ili tukipeana miadi wasije wakarudi kinyumenyume baada ya kuniona.
 
Kwa kuwa mnajifanya wabishi,nasi hatutaki mpotee.. Tutaandaa system itakayohack relationship yenu na tutatuma virus maalum,hamtaenjoy hii preliminary. Tumeona tuwasaidie kwa njia hiyo. Kifupi mtaachana muda si mrefu. Na itawauma kidogo. Lakini you will all get over it.. I promise...@ Jr & Lizzy..
 
Leo asubuhi kabla sijaanza kujiandaa kwenda kibaruani niliona post ya kusema mtu kamzimikia Lizzy, hii ni mojawapo ya string nyingi sana ambazo zimekuwa zikitangaza kumzimikia Lizzy.

Hivi Lizzy umewapa nini hawa kila siku wanatangaza kukuzimikia? Wanapenda Avatar yako au wanapenda nini kwako? Hata wale ambao hawajaanzisha thread kuhusu Lizzy bado nahisi wanakuzimikia tu hebu nao waseme nini wanakizimikia kwako?

Mi nlisjasema..........
oi Ungesema baadhi me ningeelewa kwangu binafsi bado hiyo kitu haijafika namuona wa kawaida sana tu avatar ya kwaida inayoonesha Mwana dada mweye mawazo tele na Stress nyingi, kwa styre hiyo mtu unaweza kumzimikia? oi nadhani wengi wanapenda kuchat na Lizzy yupo talkative sana tu so wengi hupenda kuchat ,na Mtu muongeaji sana hupata marafiki wengi tofauti na mtu asiye ongea sana haijalishi yupoje mbaya au mzuri atapendwa tu.

ni vizuri ingebaririsha Heading japo kidogo uweke baadhi ya wanaume wa jf umewapa nini?
 
wala huna haja ya kumaliza wino... Tushwawekea kirusi..!
 
oi Ungesema baadhi me ningeelewa kwangu binafsi bado hiyo kitu haijafika namuona wa kawaida sana tu avatar ya kwaida inayoonesha Mwana dada mweye mawazo tele na Stress nyingi, kwa styre hiyo mtu unaweza kumzimikia? oi nadhani wengi wanapenda kuchat na Lizzy yupo talkative sana tu so wengi hupenda kuchat ,na Mtu muongeaji sana hupata marafiki wengi tofauti na mtu asiye ongea sana haijalishi yupoje mbaya au mzuri atapendwa tu.

ni vizuri ingebaririsha Heading japo kidogo uweke baadhi ya wanaume wa jf umewapa nini?

Aiseee. . .
We utakua mmoja wa wale watu ambao hua wanawafanya mabinti waonyeshe hawanazo kwasababu kwenu mtu kufikiria/kuwazua mambo kunapunguza uzuri wake.

Nwy hamna aliposema wote bana. . kuwa huru kujiweka nje ya kundi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom