Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Ha ha ha ha ha,Hakika,yaani hapo mtu unakimbia huku chupi Mkononi na Makelele mengi mithili ya hayawani aliyejeruhiwa katika Mbuga ya Serengeti!

Nikimpata that type of a woman,NITAMFURUMUSHIA MAPENZI MAPENZI MPAKA ATAENDWA KULAZWA KWENYE WODI YA VICHAA!!!
Love is All We Need,Cheeeeeers!!

Hahahahaha. . . Yeahhh hiyo ndio style yao. Wanapenda mahusiano ya tajiri na kijakazi, bwana na mtumwa.

Aiseee. . Basi nakuombea ufanikiwe kumpata. Ila usimchizishe bana.
 
Leo asubuhi kabla sijaanza kujiandaa kwenda kibaruani niliona post ya kusema mtu kamzimikia Lizzy, hii ni mojawapo ya string nyingi sana ambazo zimekuwa zikitangaza kumzimikia Lizzy.

Hivi Lizzy
umewapa nini hawa kila siku wanatangaza kukuzimikia? Wanapenda Avatar yako au wanapenda nini kwako? Hata wale ambao hawajaanzisha thread kuhusu Lizzy bado nahisi wanakuzimikia tu hebu nao waseme nini wanakizimikia kwako?

Mi nlisjasema..........

Aiseee. . .
We utakua mmoja wa wale watu ambao hua wanawafanya mabinti waonyeshe hawanazo kwasababu kwenu mtu kufikiria/kuwazua mambo kunapunguza uzuri wake.

Nwy hamna aliposema wote bana. . kuwa huru kujiweka nje ya kundi.
Hiyo yako red na ya Musimo kwenye Black oi au Sijamuelewa manake anasema hata wale wasio anzisha thread kuhusu Lizzy! Hapo wacha nisibishe!

Hizo Bold inaonekana wewe ni Mtunzi Mzuri wa Hadithi za Kufikirika hebu niambie huo umoja wa watu wanaowafanya mabinti waonekane hawanazo ni upi huo sijawahi kuusikia Tafadhari nifahamishe mie Ni Mgeni.

Kwetu kufikiria na kuwazua jambo la mtu binafsi ila kama una Mtu ndani mwako yeye yupo na uso wa huzuni au anawazua kitu busara ni kumuacha amalize Stress zake ndipo umsemeshe kwani Mtaelewana
 
Owwwwwwwkey.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom