Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

bloggerboy

JF-Expert Member
Nov 13, 2017
568
1,211
Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili.

Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
 
Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili,how comes Dr.medicine arecommend dawa?

Wakati mtaalam yupo lakini hafanyi kazi yake?
 
Wewe uko kazini au unafanya mbwembe Kwasababu huna kazi?

Huu ujinga mara nyingi mtunakiwa Hana kazi ndio anabishana.

Kwa taarifa yako,huko vituoni manesi ndio madaktari, Medical Attendant nsio wafamasia
 
Kwani Unataka kusemaje ? Wazir wa afya na kujibu maswali ya watu kama wewe nipo hapa malizia nikuelewe,, kwamba unaona kugawa dawa ni kama kugawa pombe za denge, komoni na chibuku kwa mama upwiru rita ya komoni ya jero anakunywa wate mpaka mnalewa...... Kijana hebu malizia hoja yako nikujibu kitaalamu kabla sijakuchukulia sheria
 
Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebishenu hili

Medical officer ana recommend dawa hakiwa Hana uzoefu wowote Wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa,
Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
Elimu hii tumepewa na mabeberu Sasa tutaendaje tofauti waende hata miak 6
 
Kitu nilichojifunza kwenye career life ni kuwa ni rahisi kuichuikulia poa field ya mwenzio kwa sababu ya mtazamo wa nje kama outsider, Ila ukipata bahati ya kuielewa au kuifanya hata kwa siku tu. Utabadili mtazamo wako
Kama watu wamavyo mu underate MTU anaesomea food science au human nutrition, (huku mtaani wanaitwa mama ntilie)
 
Kingine hakuna Kurugenzi ya Famasi kule Wizarani inayohusiana na kada hii ...
Kiufupi hii kada imewekwa chini ya uangalizi wa madaktari wizarani ..

Hawajui kazi za wafamasia ni zipi...

Unakuta Zahanati sehemu ya dawa amekaa nurse ...ndie anatoa dawa ..

Kuna vitu vingi sana vya kubadilisha hii kada
 
Back
Top Bottom