Hivi kwanini?

jaman kwan evolution imefikia mwisho? kama hapana basi tarajia ama -ve evolution ama +ve evolution
 
Wanasema kila hatua unakutana na mazingira mapya, marafiki wapya nk nk....

Namna ya kuweka sawia haya mabadiliko ya nje na wale wapendwa wako wa zamani (hasa kama hawakumaanisha kitu kwako) inapelekea wengi kujiuliza kama NN unavyojiuliza!

Dah umenikumbusha mshkaji wangu nikikumbuka natamani kulia......
 
Aisee NN nafikiri jibu la swali hilo ni worth all the platinum, diamonds,gold and silver on this Earth. Mimi I even stopped asking myself.
Nafikiri hata Adam alijiuliza sana hilo swali pindi alipogundua Hawa kamlaghai.

Halafu the more you try to make it work the worse it becomes and the more your pain will be!!
 
Word!!!
 
Wanasema kila hatua unakutana na mazingira mapya, marafiki wapya nk nk....

Namna ya kuweka sawia haya mabadiliko ya nje na wale wapendwa wako wa zamani (hasa kama hawakumaanisha kitu kwako) inapelekea wengi kujiuliza kama NN unavyojiuliza!

Dah umenikumbusha mshkaji wangu nikikumbuka natamani kulia......

Duh! Pole zake huyo mshikaji wako.
 
Nimetoka kucheki muvi moja inaitwa love net (2011) katika mjadala kama huo kuna mmoja akasema watu wakikaa pamoja muda mrefu kila mmoja anamuona mwenzake invisible. Lol.

Inahitaji kazi ya ziada ili uendelee kuonekana au kuonana...maana nature hairuhusu..inabidi kung'ang'ana na maufundi ya ku nurture.

Je, ni sawa tukiyaita hayo mabadiliko kuwa ni utapeli wa kimapenzi?
 
Kuna kakitabu ninakaamini sana kanasema
when people change to an extend that
you wonder how you got close to them in the first place,
and no matter how hard you try you can't find any reason
as to why they changed like that,
then maybe it is you who changed.
 
And the operative word there is "maybe"......
 
And the operative word there is "maybe"......
Dr. Watson aliambiwa when you have eliminated all the possibilities,
then the one that remains, no matter how unlickely it may apprear,
it probably the right one. All you have to do is prove it. good luck.
 
Who's Dr. Watson?
 
Well, his opinion is his and his alone.

I disagree with it.
sawa kabisa! But kama ukisha ondoa all other possibility,
that one is worth investigating too. Nobody is perfect.
Not even you (as hard as it may seem to believe. lol)
 
sawa kabisa! But kama ukisha ondoa all other possibility,
that one is worth investigating too. Nobody is perfect.
Not even you (as hard as it may seem to believe. lol)

Now why even float the idea that little 'ol me could be perfect?
 
Hehehehe nani huyo aliyekutenda bana!? Funguka zaidi....pole sana. Inaelekea aliugusa moyo wako pale penyewe kabisa mpaka umeamua kushuka jamvini kuja kulalama labda atakusikia na kuamua kurudisha majeshi kwa nguvu ili kurutubisha tena mapenzi yenu.

Miaka takribani arubatashara iliyopita tukakutana pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ivato, jijini Antananarivo kisiwani Malagasi.

Wote bado tulikuwa washababi na watanashati wenye nyuso zilizojaa furaha na bashasha.

Wewe hukuwa na shaka na usharafu wangu nami vivyo hivyo sikuwa na shaka na wa kwako.

Tumepitia mengi, njia tambarare, milima, pamoja na mabonde.

Nini kilichokusibu ghafla umebadilika? Wewe hutaki kuambiwa. Hutaki kusemwa.

Unashawishika na mambo madogo. Unashawishika na vitu vidogo.

Hivi kwa nini? Kwa nini watu hubadilika na kuwa kama siyo wao tena?
 
Hehehehe nani huyo aliyekutenda bana!? Funguka zaidi....pole sana. Inaelekea aliugusa moyo wako pale penyewe kabisa mpaka umeamua kushuka jamvini kuja kulalama labda atakusikia na kuamua kurudisha majeshi kwa nguvu ili kurutubisha tena mapenzi yenu.

BAK, wala hamna mtu aliyenitenda bana. Toka lini mtenda akatendwa? Lol...
 
hii tabia ni ya asili tunayotu ndani ya roho zetu kwa kifupi haswa wenzetu wanawake huwa wanajificha sana na punde tu akikunasa basi ndio anatokea na moja baada ya nyingine
 
ilikuwa kidogo nianzishe a thread like this

huwa najiuliza

Do they miss themselves?
DO they know how badly we are missing 'their old self'

Or if it is us who changed....Do we miss 'our old self'?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom