Hivi kwanini?

Ila kwanini waarabu hawana shida hizi aisee. Unajua sisi tunajifanya kwenda na wakati sana ndio mana ma relationship hayadumu.
Hakiya nani vile,mimi na make my several millions naenda zangu arabuni au nikishindwa hata unguja hapo. Beba ka mamsap bombaaa, kitu SEALED kabisaaaaaa. Leta bongo kwenye ka secluded house kangu, fungia ndani full time!! Kutoka ni na mimi tu. Mtoto hajui cha runn way bills, much more, Java wala nini. Yeye ni kulea, kunipikia basi!!!
Tatizo wabongo tunapenda kuishi kithungu, nafkiri tujaribu kiarabu since we are copy cats in everything!
 
Miaka takribani arubatashara iliyopita tukakutana pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ivato, jijini Antananarivo kisiwani Malagasi.

Wote bado tulikuwa washababi na watanashati wenye nyuso zilizojaa furaha na bashasha.

Wewe hukuwa na shaka na usharafu wangu nami vivyo hivyo sikuwa na shaka na wa kwako.

Tumepitia mengi, njia tambarare, milima, pamoja na mabonde.

Nini kilichokusibu ghafla umebadilika? Wewe hutaki kuambiwa. Hutaki kusemwa.

Unashawishika na mambo madogo. Unashawishika na vitu vidogo.

Hivi kwa nini? Kwa nini watu hubadilika na kuwa kama siyo wao tena?

Hiyo red hata mimi siipendi uniseme mie mtoto wako wa kumzaa??? Hapa ni kuambiana kistaarabu tu hayo mambo ya vikao mmmmhhhhh kuanza kunigombeza kama mtoto nooooooooooooooooooooooooooooo
 
Sasa lipi ni lipi? Ni kwamba watu hubadilika tabia zao au mlipokutana walificha tu rangi zao?

Mtu utajuaje kuwa lipi ni lipi?

Mkuu NN......kama unakutana na mtu akiwa hana mali, hana madaraka na hana nguvu ya ushawishi mtu huyu ni wa kuchukuliwa kwa tahadhari sana maana baada ya kupata hivi vitu kimoja kimoja au kwa ujumla.......hapo sasa ndo huwa mtu halisi na tabia fully blown............ndo utamjua mtu hyo ni wa kundi gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom