johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,605
- 142,923
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze Wabunge wenye mbwembwe na majivuno wa CCM wamekuwa wakitokea Kwenye Majimbo maskini sana ambayo baadhi ya Wananchi Wanaishi Kwenye Nyumba za udongo yaani mbavu za mbwa
Hii ni tofauti sana na Wabunge wa Upinzani hasa Chadema na Nccr ambao Wabunge maarufu kama Mchungaji Msigwa, Sugu, Dr Msina, Ndesamburo rip, Mdee, Mnyika, Prof Jay nk wamewahi kuwakilisha Majimbo yenye raia wenye hali nzuri za maisha
Kuna siri gani Kati ya Umaskini na Umaarufu wa Wabunge wa Chama Tawala?
Nawatakia Dominica njema!