Hivi kwa nini Wanaume wanalipia ngono?

Swadakta Penny, Uanamume ni kuweza kujiheshimu na kuji-control, Uanaume si kufungua zipu kwa kila mwanamke umwonaye, Uanaume ni uwezo wa kujitawala na ku-control hisia zako, Uanaume ni kumiliki na kujimiliki.
Asante sana kwa kutoa msisitizo. Tatizo hawapendi kuambiwa ukweli. Mbona Mungu alipomuumba Adam alimpa msaidizi Eva. Kwa nini hakumpa wasaidizi Eva, Penny, Pretty, Mwanahawa, Aisha...nk? Ndo maana nilisema ni ulimbukeni na ujinga eti wa ufahari kwa kufanya hayo yote. Naukiangalia in deep who is the looser...them the wajinga walipia ngono. Kwa nini usimchukue demu mmoja na ukae naye utulize hizo hamu! Tatizo kudanganyana kwingi ndo kunapelekea mambo yote haya hamna lolote. MIANAUME MILIMBUKENI BADILIKENI!
 
Hivi wanyama huwa wanakuwa na mchakato pia?

Ndio mchakato kwa wanyama upo. Ng'ombe, mbuzi huanza kufukuzana kwanza. Mbwa hufuatana fuatana kwa muda kabla ya kukubaliwa. Paka yeye kama binadamu anamchakato wa kuvutia ikiwemo kukumbatiana na kugaragazana chini. Hivyo mchakato kabla ya kula tunda la adeni kwa wanyama unafanyika
 
hicho kisingizio cha hali ngumu ya maisha sikikubali kwani hata ukiangalia wako wasichana wenye kazi tena nzuri tu ila ni machangu, pia hata kwa wanaume hiyo naona ni hali moja mbaya sana kwani hapo lengo ni kujifurahisha tu huyo mwanaume na mwisho wake ukinogewa then unapiga kavu na ngoma juu. sasa utasema hiyo ni nini? lazima tuache hiyo tabia haraka sana kwani siyo nzuri. Magonjwa ni mengi sana na pia lishe yetu siyo nzuri sana hasa sisi watanzania kwani miaka ya kuishi mtanzania sasa ni 55 tu.[/QUOTE]


Angalia bold zangu hapo juu. Je, isingekuwa ngoma au magonjwa au lishe yetu inatoshereza, je, kununua ngono ingekuwa halali????Wewe naona unaogopa magonjwa kuliko kitendo chenyewe cha kuuza na kununua ngono
 
Hivi wajameni niwaulize swali moja tu. Kuna tofauti gani kununua ngono kutoka kwa CD na kumhudumia mkeo ambaye naye ukiangalia kwa makini ujira wake anatoa ngono tu kwako??? Tuliangalie swala hili kwa maana ya kununua huduma ya ngono .Acha kufikiria eti ni CD, kwa sababu anachotoa CD na mkeo ni hicho hicho na kinafanyika kwa style ile ile bila kujali huyu ni CD au mke.
 
kale kamchezo wanalipia kwasababu waliowengi ni madomo zege
so pesa ndio inaongea...
hawawezi kutongoza
usiombe kua na domo zege
 
Hakuna mwanaume asiyelipia ngono,ila tofauti ni aina ya malipo.Wengine wanatoa hela,wengine nguvu zao,wengine wanatoa zawadi etc etc ila lazma utajikuta umelipia in one way or another.
 
Wadau, katika miji mikubwa hapa nchini na hasa Dar mitaa ya Ohio na sehemu nyinginezo za Jiji, kuna akina dada wanajiuza- kutoa ngono kwa pesa aka Madada Poa. Vivyo hivyo kwa mija kama Arusha. Inasemekana baadhi ya wateja wao wakubwa ni watu wenye pesa zao na hata watu wa kawaida mradi tu waweze kulipia huduma hiyo. Inasemekana pia Madada hao huweza kutoa huduma hiyo hadi kwa watu 10 kwa siku kutegemeana na soko kwa siku hiyo.

Swali langu ni hili; Je, ni kwa nini Wanaume huenda kutafuta huduma hiyo mitaani? Saikolojia yangu inanipa taabu sana-Inakuwaje unaenda maeneo ya MaCD ukidhamiria kupata huduma ya ngono kwa mtu ambaye humjui, hujawahi kumuona? How do yo feel when you are performing with a stranger? Ni kweli unapata utoshelevu (satisfaction) unapofanya ngono ya namna hiyo?

Kwa akina dada. Je, wakati wanapata hao wateja huwa wanajisikia feelings na kutosheka? Maana kwa jinsi tulivyoumbwa ni kwamba tendo la ngono ni mchakato (process) linahitaji kuandaana hadi unahisi mwenzako yuko tayari kwa tendo. Is that possible wakati wa ngono ya kununua?

Buddy that is so naive.............
 
Sasa jamani nyinyi mlitaka wapate bure? Hiyo si service kama service nyingine? Kwa kiingereza inaitwa commercial sex. Mimi nafikiri hawauzi miili yao bali wanaikodisha tu kwa muda. Je na wale wanaokwenda kwenye madanguro? Shida kubwa hapa ni mmomonyoko wa maadili, umasikini, tabia mbovu, tamaa, kukata tamaa ya maisha na kuiga ya wageni? Kwa nini kwenye miji midogo hakuna sana mambo haya ya kukaa barabarani ingawaje madanguro yako huko na wahuni wa ngono wapo tele.

Makamba wakati akiwa mkuu wa mkoa wa DSM alijaribu kuthibit hili lakini alishindwa. Sheria yake pia sio kali kabisa nasikia wakifikishwa mahakamani faini yake ni sh. 500 tu!

Maswali mengine bwana Ibrah ni ya kitafiti hivyo fanya utafiti ila uwe mwangalifu na 'research methodology' utakayotumia.
 
kale kamchezo wanalipia kwasababu waliowengi ni madomo zege
so pesa ndio inaongea...
hawawezi kutongoza
usiombe kua na domo zege

mmh! hata kama domo zege ndo ununue? si utumie njia mbadala tongoza hata kwa simu basi maana kununua wakati hujui wangapi wamepita hapomuda mfupi kabla hujaja duh! hwana hata kinyaa hao wanao nunua
 
kuna sababu nyingi sana za kulipia ngono

1. kumiliki msichana (girl friend) ni gharama na usumbufu) kutafutana, vocha, wivu, mizinga, outing nk. MaCD ni cheap na unafanya ukiwa nazo tu

2. mchakato wa kutafuta girl friend ni mrefu sana na una usumbufu, CD ni kitu cha kuelewana dk 1 unapiga unasepa, kesho hamjuani

3. Inasaidia kwa wle w/ume ambao wake zao wana tabia ya kuzila na pindi mnapogombana analala mzungu wa nne (hii ndio sababu kuu)

4. Kwa wale watoto wadogo walio balehe halafu madomo zege hii ni njia rahisi kupunguza machungu ya nafsi

5. Inasaidia tabaka la chini linalodharaulika kama mateja, walevi mbwa, wezi wa kutupwa n.k kuweza kupata kitu roho inapenda

6. Kwa wale wafanyakazi wenye ndoa au wachumba pindi wanaposafiri na kuwa mbali na wenza wao kuweza kupunguza ny*ge

7. Pia inasaidia kuweza kubadilisha mapishi kidogo sio kila siku unakula pishi lile lile
 
Hakuna mwanaume asiyelipia ngono,ila tofauti ni aina ya malipo.Wengine wanatoa hela,wengine nguvu zao,wengine wanatoa zawadi etc etc ila lazma utajikuta umelipia in one way or another.

Inawezekana kweli enh?
 
Uanaume ni kumiliki na kujimiliki.
Kumiliki ni kuwa na wanawake wengi kadri iwezekanavyo kama huwezi kuwa nao nyumbabi basi ni KUWAZUNGUMZA kadri iwezekanavyo. Unapiga bao hadi manii hazitoki bali povu tu na huo ndio urijali. Ibrah Upo?
 
Jibu ni ulimbukeni na ujinga uliowatawala vichwani mwao. Ila kwa wale wasiolipa ndio huitwa wanaume rijali na shupavu awezae kukabiliana na vishawishi. Na ni wanaume wachache sana wenye ubavu huo.

Kuna study imefanyika University moja UKna conclusion ni hii...

Wanaume wote wanaocheat are ''plain stupid'' na wana low IQ compared na wale wasio cheat!

Msinitupie mawe wazee, ni report imeyonishangaza hata mimi!
 
...coz nothing comes for free in this world!:glasses-nerdy:
 
Huku malawi serikali ya huku imetangaza kuwa wanaweke wanaojiuza wawe wanalipia mapato, maana serikali ya huku inatambua uwepo wao na mwanaume ukimchukua changudoa kama hujampa pesa unashitakiwa kwa mujibu wa sheria za huku.
 
Sorry to burst anyones bubble but I would say a man who goes with prostitutes or who sleeps with several women is the ultimate wh*re! if he can find a mistress who can give him the attention he needs why pay for sex?...

Those who love to read I recommend to read Eleven Minutes, it is a 2003 novel by Paulo Coelho based around a young prostitute named Maria... The book deals with issues surrounding sex and sexuality, such as prostitution, and sacred sex in the context of love.....
 
Back
Top Bottom