Jinsi ya kupunguza bajeti kwenye ngono

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,287
Hii ni mahususi kwa wanaume tulio oa .....siku zote nipende kusema ngono ni starehe tu kama starehe nyingine.

Kwa sisi ambao starehe yetu kubwa ni vidudu vya akina dada basi tumejikuta hii starehe usipo kua mjanja na akili nyingi hivyo itakudharirisha,itakulia muda wako, itakulia pesa zako au kukufirisi kabisa.

Hivyo basi kama ni mpenzi wa hii starehe inatakiwa uwe mjanja wa kucheza na hii starehe ili uweze kuifaidi.

Ni hivi kwenye kupunguza gharama za uchakataji inatakiwa utafute wazinzi wenzio watatu mnao Ivana.

Hivyo mnachanga bajeti na kutafuta chumba mnapanga, chumba kizuri kisiwe na mwenye nyumba hapohapo.

Hivyo mnalipia kodi na kununua vitu vya ndani kulingana na nyie na vipendo vyenu baada ya hapo mnagawana funguo.

Mnakuja kutengeneza group la wasp kwa ajiri ya taarifa kama upo site unatuma taarifa kuwa leo nipo na mtoto kutoka muda huu hadi huu.

Msisahau kila mtu anakua na mashuka yake.

Faida ya hii ni pale kama ulitumia elfu 20..40 za loji kwa tendo moja kama kwa wiki unachakata mara mbili hivyo ni elfu 80 kwa wiki.

Na kwa mwezi ni laki tatu na ishirini kama unaenda Loji za 20 kwa mwezi ni elfu 80 bado hela za misosi na nauli ya mtoto.

Kama chumba mtakua mmelipa miezi mitatu hivyo gharama za loji za miezi mitatu utakua umesevu na itakua imekurahisishia sana .

Hasara za hii project ni kuwakosesha mapato walio jenga loji

Faida utakua umesevu hela nyingi sana na utakua na privacy ya kutosha.

Nawatakia uchakataji mwema
 
Mbinu zangu mmeanza kuziweka mitandaoni naona, haha
Wenzio sisi kitambo tu, ghetto lipo survey hapo, panafikika kwa urafiki. Wakati mwingine unasema nasafiri kikazi kumbe umejifungia zako Mjini unakula kipupwe na watoto wa wenyewe.
 
Shida sio kupatikana hapa shida watu wengi tunapenda mambo ya ujinga ujinga kuliko vitu vya msingi

Hata uko vinakopatikana hivyo vitu angalia wachangiaji

Kwa akili yako tu ikiwa sawa unaona hii ni hoja ya kudiscuss ?
Mzee fikiri mambo ya msingi kadri uwezavyo ila hauta kuja kufanya nayo kitu chochote.

Ulimwengu kwa sasa unatawaliwa na ujinga ujinga kuwa mjinga mjinga kwanza ndio akili zifate.

Wanao umia huu ulimwengu ni watu wanao jifanya wanatumia akili ambacho hicho kitendo nimekitumikia bila mafanikio yoyote zaidi ya kuwa na hasira tu juu ya upuuzi wa watu.

Halafu dunia ya sasa ukiwa serious unaonekana kituko tu
 
Mzee fikiri mambo ya msingi kadri uwezavyo ila hauta kuja kufanya nayo kitu chochote.

Ulimwengu kwa sasa unatawaliwa na ujinga ujinga kuwa mjinga mjinga kwanza ndio akili zifate.

Wanao umia huu ulimwengu ni watu wanao jifanya wanatumia akili ambacho hicho kitendo nimekitumikia bila mafanikio yoyote zaidi ya kuwa na hasira tu juu ya upuuzi wa watu.

Halafu dunia ya sasa ukiwa serious unaonekana kituko tu
Unavyowaza ndio unavyokuwa na ndio unavyotenda na ndio maisha yako
 
Back
Top Bottom