Hivi kwa nini Wanaume wanalipia ngono?

jibu fupi,hakuna mapenzi ya dhati siku hizi,ndio sababu kubwa inachangia hiyo biashara kushamiri,wote wanaume/wanawake yani mkianza uhusiano poa,ila baadae migogoro inatokea ktk ndoa yenu kwahiyo kupunguza stress % kubwa ya wanaume wanaamua wanunue dada poa,ndio mana nasema mapenzi ya siku mengi ni kutamaniana na kuchokana kuliko kujenga maisha yenu na watoto,kila upande upo kutetea kwake kimaslahi,midomo zege nae kiasi fulani inachukua nafasi ila kuna wengi wana ndoa zao wanaenda kwenye biashara ndio mana nchi nyingi za ulaya zimeruhusu bashara hii na wengine wameshatalaka wake zao,wamefiwa,wapweke nk.
 
Wadau, katika miji mikubwa hapa nchini na hasa Dar mitaa ya Ohio na sehemu nyinginezo za Jiji, kuna akina dada wanajiuza- kutoa ngono kwa pesa aka Madada Poa. Vivyo hivyo kwa mija kama Arusha. Inasemekana baadhi ya wateja wao wakubwa ni watu wenye pesa zao na hata watu wa kawaida mradi tu waweze kulipia huduma hiyo. Inasemekana pia Madada hao huweza kutoa huduma hiyo hadi kwa watu 10 kwa siku kutegemeana na soko kwa siku hiyo.

Swali langu ni hili; Je, ni kwa nini Wanaume huenda kutafuta huduma hiyo mitaani? Saikolojia yangu inanipa taabu sana-Inakuwaje unaenda maeneo ya MaCD ukidhamiria kupata huduma ya ngono kwa mtu ambaye humjui, hujawahi kumuona? How do yo feel when you are performing with a stranger? Ni kweli unapata utoshelevu (satisfaction) unapofanya ngono ya namna hiyo?

Kwa akina dada. Je, wakati wanapata hao wateja huwa wanajisikia feelings na kutosheka? Maana kwa jinsi tulivyoumbwa ni kwamba tendo la ngono ni mchakato (process) linahitaji kuandaana hadi unahisi mwenzako yuko tayari kwa tendo. Is that possible wakati wa ngono ya kununua?

kwanini unalipia/unanunua chakula kwenye mgahawa?
 
lol Arsene Wenger umenichekesha sana swali lako eti kwanini unanunua chakula ktk mgahawa!
 
kuna mdada mmoja nilishawai kumhoji, yeye ameshaathirika tayari, kwa kweli ukimwangalia kwa macho ya kibinadamu, ni mzuri sana sana, mweupe na umbo la kule kwa kina mwakipesile....na mwanjelwa...alikuwa anafanya kazi ya bar pale SAI kwa wale waliofika mbeya, kuna bar moja pale ilivuma sana kipindi cha nyuma, mwenye nayo alienda kukodi machangu toka Dar kabisa akawamwaga pale kwenye bar yake ili kuvutia wateja...watu walikuwa wanajaa.

huyu ndo alitoa siri zote. kwanza anaanza na yale magari ya "ukanda wa gaza" kwa wale wanaoyaona yanasafirisha mizigo toka bandari ya dar handi congo na zambia...wale watu ni wachafu ile mbaya, ndo wanaoharibu wasichana kinyume na maumbile...alitusimulia kuwa ameishia kutembea na toilet paper kwa sasa kwasababu kama akinywa maji mengi chakula tumboni kikawa laini mno, akicheka kwa nguvu au hata kukohoa tu, tayari yameshadondoka...kama hujavaa kufuli ndo utajiju.

alitoa ratiba yake, yeye alisema kwa wiki alikuwa anafanya mara nne ila kwa siku moja anatoa mwanaume mmoja bia, mwingine soda...siku inayofuata anapumzika, anapumzika siku moja(juma tatu, jumatano,ijumaa,jumapili), na kwa siku anatoa bia moja"ukiambia bia" ni kinyume na maumbile, na soda moja "ndo hali ya kuingiliwa kawaida"...anasema walipomchoka kwasababu alikuwa banzoka chakachaka wakamhama kwasababu it is no more tight in either sides...akaishia kuhangaika, na ukimwi kapata, ndo kajishikisha kutangaza ukimwi na NGOs ili apate ya kula...anajilaumu na anawashauri vijana wengi sana wasije jaribu mlango wa nyuma au hata uchangu..anatamani ujana ungerudi ili atengeneza maisha mazuri.

wote wanaofanya hivyo, huwa wanakuja kujilaumu sana. YEYE ANASEMA, HUWA WANATUMIA DAWA ZA MASAI NA TOKA KWA WAGANGA, anaipakaa, au anaiweka kama kijiti ndani kwa muda kabla...mwanaume akiingia tu, anakohoa/cheka mapemaaa hivyo yeye hatochoka sana kwasababu jamaa kishacheka mapema...kama akiamua kurudia round ndo anaongeza hela tena kwa kucheka mapema...UNAWEZA KUONA HATARI YA WANAUME WENGI WENYE MATATIZO YA KUCHEKA MAPEMA...pengine mapepo/majini haya yanaambukizwa na wadada wanaowaokota barabarani, kwasababu kama wanaenda kuchukua dawa hadi kwa mganga, basi wana chukua majini/mapepo kuwaingia wanaume ili wacheke haraka, na wakiachana, jini linaweza kubaki na mwanaume yule akirudi kwa mkewe atakuwa anacheka haraka....think about it...wajinga ndo waliwao....
 
kwanini unalipia/unanunua chakula kwenye mgahawa?
Bra "AW" kwasababu ni taratibu tulizojiwekea ndio maana hata ukikuta chakula ni kibovu hauna jinsi utalipa tu hata kama mtabargain but you must pay

Ingawa hata mimi bado najiuliza kwanini mwanaume anampa mwanamke pesa baada ya tendo la kufanya mapenzi hata kama ni mchumba wake ambaye hawaishi pamoja siku wakienda public house(gesti) kwa kufanya hilo tendo mwishoni lazima atampa pesa. Na mimi bado sina jibu
 
kuna mdada mmoja nilishawai kumhoji, yeye ameshaathirika tayari, kwa kweli ukimwangalia kwa macho ya kibinadamu, ni mzuri sana sana, mweupe na umbo la kule kwa kina mwakipesile....na mwanjelwa...alikuwa anafanya kazi ya bar pale sai kwa wale waliofika mbeya, kuna bar moja pale ilivuma sana kipindi cha nyuma, mwenye nayo alienda kukodi machangu toka dar kabisa akawamwaga pale kwenye bar yake ili kuvutia wateja...watu walikuwa wanajaa.

Huyu ndo alitoa siri zote. Kwanza anaanza na yale magari ya "ukanda wa gaza" kwa wale wanaoyaona yanasafirisha mizigo toka bandari ya dar handi congo na zambia...wale watu ni wachafu ile mbaya, ndo wanaoharibu wasichana kinyume na maumbile...alitusimulia kuwa ameishia kutembea na toilet paper kwa sasa kwasababu kama akinywa maji mengi chakula tumboni kikawa laini mno, akicheka kwa nguvu au hata kukohoa tu, tayari yameshadondoka...kama hujavaa kufuli ndo utajiju.

Alitoa ratiba yake, yeye alisema kwa wiki alikuwa anafanya mara nne ila kwa siku moja anatoa mwanaume mmoja bia, mwingine soda...siku inayofuata anapumzika, anapumzika siku moja(juma tatu, jumatano,ijumaa,jumapili), na kwa siku anatoa bia moja"ukiambia bia" ni kinyume na maumbile, na soda moja "ndo hali ya kuingiliwa kawaida"...anasema walipomchoka kwasababu alikuwa banzoka chakachaka wakamhama kwasababu it is no more tight in either sides...akaishia kuhangaika, na ukimwi kapata, ndo kajishikisha kutangaza ukimwi na ngos ili apate ya kula...anajilaumu na anawashauri vijana wengi sana wasije jaribu mlango wa nyuma au hata uchangu..anatamani ujana ungerudi ili atengeneza maisha mazuri.

Wote wanaofanya hivyo, huwa wanakuja kujilaumu sana. yeye anasema, huwa wanatumia dawa za masai na toka kwa waganga, anaipakaa, au anaiweka kama kijiti ndani kwa muda kabla...mwanaume akiingia tu, anakohoa/cheka mapemaaa hivyo yeye hatochoka sana kwasababu jamaa kishacheka mapema...kama akiamua kurudia round ndo anaongeza hela tena kwa kucheka mapema...unaweza kuona hatari ya wanaume wengi wenye matatizo ya kucheka mapema...pengine mapepo/majini haya yanaambukizwa na wadada wanaowaokota barabarani, kwasababu kama wanaenda kuchukua dawa hadi kwa mganga, basi wana chukua majini/mapepo kuwaingia wanaume ili wacheke haraka, na wakiachana, jini linaweza kubaki na mwanaume yule akirudi kwa mkewe atakuwa anacheka haraka....think about it...wajinga ndo waliwao....
mkuu hii post yako inabidi uianzishie mada maana ina mafundisho makubwa sana sasa umeichanya uku haitasomeka vizuri sana. Ianzishie topic/thread yake plz
 
Swadakta Penny, Uanamume ni kuweza kujiheshimu na kuji-control, Uanaume si kufungua zipu kwa kila mwanamke umwonaye, Uanaume ni uwezo wa kujitawala na ku-control hisia zako, Uanaume ni kumiliki na kujimiliki.
Hayo ndo majibu
 
Bra "AW" kwasababu ni taratibu tulizojiwekea ndio maana hata ukikuta chakula ni kibovu hauna jinsi utalipa tu hata kama mtabargain but you must pay

Ingawa hata mimi bado najiuliza kwanini mwanaume anampa mwanamke pesa baada ya tendo la kufanya mapenzi hata kama ni mchumba wake ambaye hawaishi pamoja siku wakienda public house(gesti) kwa kufanya hilo tendo mwishoni lazima atampa pesa. Na mimi bado sina jibu
kama nitaaitibu zilizo kuwepo hata hawa wakina dada(wanaojiuza) ndio taratibu yao baada kukuhudumia ulichotaka inabidi ulipe.

mdau anashangaa kwanini wanaume wanalipia ngono na je wawezaje kuridhika na stranger.swala la kununua ngono ni swala la kimwili inamana mtu anayelipia ngono yeye shida yake ni kupiga "bao" tu na ndio maana anaweza kutimiza hili tendo na stranger.kwahio utoshelevu wake anaupata baada kupiga "bao" kwa mda huo ambao labda hakuweza kusubiri kutongoza mpaka apewe kwa bure au hana mke nyumbani na mwili unachemka kwahio lazima apunguze kwa njia hii.ndio maana nikamuuliza kwnaini ulipia chakula kwenye mgahawa? jibu ni kwa vile ana njaa wakati huo.

swala la ubora wa chakula ndio vizuri ukapika nyumbani mwenyewe(au mke wako) na hawa swala kama hawapati wanachotaka kwa strangers hawa waache kununua na watafute mwanamke/mke ambaye watapata kila wanachotaka kwa mda muafaka na wakujitosheleza.

Fungu lakola mwisho kuhusu mtu kumpa hela mchumba wake hizo ccm wanahita takrima lol.ndio gharama zenyewe mkuu kwenye swala la mapenzi vizawadi zawadi kama bonus tu.

sio kwamba naunga mkono swala la ununuzi wa hawa wakina dada hapana lakini naona ni kama biashara yoyote imradi kama kuna wateja.fikiria hawa wakina dada wasingekuwepo hawa watu ambao hawataki kupoteza mda wakutongoza si wangeongeza hesabu ya wabakaji watoto wetu na dada zetu?

s
 
Mkuu AW hapo kwenye red ni kweli maanake sasa hivi kuna huduma hii lakini bado mafedhuli wanabaka watoto wadogo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom