Mimi nitaongea na wanaume kila siku

G70

JF-Expert Member
Jul 13, 2022
1,109
2,252
Sababu kubwa ya wanaume kufukuzia wanawake wanaojiuza huwa ni kwenda kupoza hasira na machungu ya kubaniwa na wake zao kimapenzi.

Kwenye ngono za kununua hawanyimwi wala kubaniwa na wafanya biashara za ngono kwa kuwa huilipia huduma hiyo.

Huwa ni kulipa cash tu na kufanya wapendavyo baada ya hapo huwa game over.

Mnaowanyimaga waume zenu mjitafakari.
 
Hata tukiwapa masaa24 bado watatoka nje si wanausemi wao kwamba wanabadilisha radha😬
Yeah,

Huu ndiyo ukweli,na msema ukweli huwa ni mpenzi wa Mungu. Mwanaume ni Kama nyoka,eti umfunike Tenga ili utegemee asitoke unajidanganya.

Kuna zile za kimasihara huwa hazikosekani.
Alafu wanaume tuliooa huwa tunawindwa Sana na hawa wenzenu walio single,tunajikuta tunacheza tu ndondo cup bila kutarajia.

ila heshima kwa mke inabaki pale pale.
 
Back
Top Bottom