hahahaaaaaa, dah i thank god for you!.
Naamini wanawake huwa hamtupani kabisa, maana naona carmel bht wako upande wangu, lol. Ntawamwagia banta wote.
mpwa sasa naona unakwenda kasi zaidi, duh.
nishakutumia kwenye email, kathibishe fasta, plz!.Tumeni picha zenu wewe na wenzio nitakayempenda huyo huyo na shule namaliza mwakani na ndoa juu
tuko pamoja,funga msuli huo usije ukakudondoka ukanitia aibu mie na carmel
Tumeni picha zenu wewe na wenzio nitakayempenda huyo huyo na shule namaliza mwakani na ndoa juu
hahahaaaa, mpwa ITS TOO LATE!.Nguliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Wapi mpwaaaa?????? Peperusha zile picha fasta! Sio za fiesta, zile za get tugedha ndio bomba zaidi. Fasta fasta!
hahahaaaa, mpwa ITS TOO LATE!.
nguliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Wapi mpwaaaa?????? Peperusha zile picha fasta! Sio za fiesta, zile za get tugedha ndio bomba zaidi. Fasta fasta!
apeleke wapi?????????? Weee jianagalieeeeeeeee!!!
tuko pamoja,
unaonaje nianze kukuita wifi aaahhh, sore naanza kuchanganyikiwa asee, nikuite SHEMEJI??.
Kama ilivyo ada naanza kuweka
Kama ilivyo ada naanza kuweka
hahhaaaaaaa, mistari kitu gani?ANZA TU, U CAN COUNT ON ME...ila huko mbele burn akiibuka sijui kama tutasurvive gharika la 'mistari' iliyosheheni vina
Babylove..,Nasubiri ya nguli na burn