Hivi kwa nini unayempenda....?

HAHAHAHA, mpwa Nguli mjanja sana!.
yaani kuona BabyLove ni kifaa ghafla ananisukimizia tena wewe uwe na mie, Loh.

Hapana! alionyesha kukukubali zaidi n I respected that, na hata huyo aliyetaka picha naona kimyaaaa. So am a looser.
 
Hapana! alionyesha kukukubali zaidi n I respected that, na hata huyo aliyetaka picha naona kimyaaaa. So am a looser.

hujafuatilia huu uzi vizuri, mimi nilikuwa namsaidia GP kwa babylove....do ur h/work
 
Hii thread naona imekata kona .... nahisi jibu linaweza kupatikana kwa njia tofauti.
 
hujafuatilia huu uzi vizuri, mimi nilikuwa namsaidia GP kwa babylove....do ur h/work

may be hukumpa jibu la uhakika .... si unajua wengine huwa tunataka explicit YES na siyo implicit YES.
 
Mbona ndio kawaida kuwa mvumilivu ni wachache wanaokutana na kujikuta wanapendana kwa ukweli.
 
Back
Top Bottom