Upendo ni nini?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,059
10,511
Kuna time unaweza kujikuta kwenye situation ya kumpenda mtu sana ambaye hakupendi pia unaweza kujikuta kwenye hali ya kupendwa sana na mtu usiyempenda.

Naomba kushare Uzoefu kwenye situation zote mbili.

Kwa Mwanamke nayempenda.

Every move kwenye hii situation is calculated kila nitachoongea au kufanya kina mlengo wa kuvuna point tatu muhimu. Hapa kuanzia kuongea au kutuma sms kuna uchaguzi wa maneno sahihi ili kuondoa sintofahamu au kumkwaza mtoto wa watu hapa samahani zinakuwa nyingi sana mfano samahani tunaweza kuchati muda huu! Samahani unaweza kuwa na muda leo tuonane! Samahani kwa kukusumbua!

unapoona calls au sms kutoka kwake kuna feeling fulani ya raha unaipata hisia za kujiona una umuhimu kwenye maisha yake hapa unaweza kuziback up sms zake.

Mara kwa mara kutembelea digital platforms zake kucheki picha zake.

Ikatokea siku ukawa na appointment naye basi lazima uhakikishe unaonekana vizuri na kunukia vizuri.

Kama anaibuka lazima geto kila kitu kiwe kimepangika pahala pake.

Unaomba majirani wawe nje waone jinsi mtoto mzuri anavyoingia geto.

Mkiwa ndani unakuwa na wasiwasi uliombatana na furaha akili inawaza hivi huyu mtoto alivyo mzuri ni kweli nastahili kumchezea sehemu za siri.

Kimsingi kila kitu kinakuwa shangwe mpaka pale unapopata taarifa kuwa unachapiwa aisee maumivu yake yanakuwa next level.

Kupendwa na mwanamke usiyempenda.

Hii ni opposite ya hali ya kwanza

Single maza wengi ni matokeo ya wanawake waliowapenda sana wanaume wasiowapenda.

Kama mwanamke ukimpenda mwanaume asiyekupenda jiandae kutumika kimwili na kama una vichenji jiandae kutumika kipesa.

Ukimpenda mwanamke asiyekupenda jitahidi uwe na pesa tu maana yajayo yanaweza yasikufurahishe.

Mtu usiyempenda huwezi kumpa attention akikutafuta au asipokitafuta ni kama hakuna kilichotokea
 
Back
Top Bottom