Hivi kuna ukweli kwamba, mtu anakuwa na hela nyingi halafu hana furaha?

Afya Bora ni muhimu kwenye utafutaji wa pesa.
Pesa ni muhimu kwa afya Bora.
Furaha na amani sio pesa Ila nimuhimu kuwa na pesa ili uwe mwenye furaha na amani.
Afya hukufanya kutafuta hela, lakini kama huna hela huwezi kuwa na afya
 
Mada haijasema usipokuwa na pesa una furaha, Wala ukiwa na pesa lazima ukose furaha, bali; unaweza ukawa na pesa na usiwe na furaha, in some conditions kama zilivyoelezwa na wenzetu.
Tutafute pesa , lakini si guarantee ya furaha.
Ulishawahi ishi bila sh. Mia
 
1.Una billions of money bank ila moyo umefungwa "pacemaker" ile feeling ya kuwa utakata moto mda wowote inakuandama utapataje furaha.?

2.Una billions of money ila kila ukigongana na wanawake hautungishi mimba. Umenyimwa uwezo wa kuzaa ila wadogo zako wote wana watoto. Furaha inatoka wapi?

3. Una billions of money ila wewe ni mgonjwa wa sickle cell au cancer ya ini inakutafuna. Anytime parapanda inaweza ikalia hio furaha inatoka wapi.


Somo:
Utajiri wa kwanza ni afya njema tu kisha ndio pesa inafuata. Tofauti na hapo ni kujilisha upepo.
Shida ni kuwa hizo changamoto zinawakuta watu woteeee
 
Sawa ila ni mifano halisi kabisa. Wewe leo tukupe hela na mwili wa Professor Jay halafu wewe umpe wakwako uone kama utakubali. Yule mwamba account yake haikosi maokoto ya kutosha ila afya ngoliogo ngoliogo unafikiri atakuwa na furaha na hela alizonazo tena kila week hospitali?
Kwan maskini hawaumwi? angekuwa maskini amesafiri kule ambako hawarudi tena. Think big...
 
angekuwa maskini huyo ungekuta tunasoma hitma...kazikwa siku mingi....usichezee kitu pesa...yupo sewhajji ana pesa Mungu mwenyewe tajiri....wewe maskini sewhaji utaendaje utahudumiwaje utakufa kabla ya siku zako...
fact
 
Hela ni muhimu sana katika maisha, na kwakuwa watu wengi hawana hela basi wanakaa na kutunga misemo ya kujifariji kwa umasikini wao. Hela ni muhimu sana wakuu kuwa nazo! Hata wanaosema hela siyo kila kitu bado wanazitafuta.
baadhi ya wanaosema hela ndio kila kitu unakuta wanatoa hela wanunue dawa za kuondoa msongo wa Mawazo

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Ulishawahi ona kichaa kwenye folen hospital kwa kuumwa?
Labda ama agongwe na gari kwa bahati mbaya au siku yake imefika anaondoka kimya kimya
mimi au wewe kutokuona haimaanishi kuwa hilo haliwezikuwa.....mbona wanavaa nguo, mbona wanavuka barabara kwa kukimbia ushawahi kujiuliza na hilo??

yani nataka kujua mwamba amefanya research au anasema tu kwa kuwa kila mtu anasema?
 
Back
Top Bottom