Hivi kuna ukweli kwamba, mtu anakuwa na hela nyingi halafu hana furaha?

Eti stress anazozipata mtu aliyekua ndani ya X5 ilingane sawa na stress anayeipata mtu aliyeshindia uji na muhogo! Sio kweli.
Unaona ajabu sababu X5 huna. Ungekuwa nayo ungegundua intensity ya stress iko strong katika kila level. Hujawahi sikia Don mwenye X5 kachapiwa mke ameamua kujipiga risasi tu
 
Ubaya ni kwamba hio afya unayoibeza ndio inaku support kufungua macho, kutembeza miguu na mikono bila kusahau vidole unavyobofya bofya hio simu ili kuandika kebehi kama ulivyofanya humu. Unasahau kuna wenzako walioko Sewahaji na Mwaisela ambao pengine wana fedha hata kukuzidi ila wamelaza mbavu kwa miezi kibao hawana ubavu wa kubonyeza simu.
angekuwa maskini huyo ungekuta tunasoma hitma...kazikwa siku mingi....usichezee kitu pesa...yupo sewhajji ana pesa Mungu mwenyewe tajiri....wewe maskini sewhaji utaendaje utahudumiwaje utakufa kabla ya siku zako...
 
View attachment 2869545

Friends stars mpaka ilipoanza 1995 average salary ya cast member ilikuwa $22,000 per episode. Wakati inaisha 2004 walikuwa wanalipwa $1 million per episode.

Baada ya kuisha kila mwaka walikuwa wanapata rights za rerun zaidi ya mshahara wa episodes kila mwaka, yaani wanauwezo wa kuishi maisha yao yote bila ya kufanya kazi.

Sasa Warner Bros wanatengeneza $1 billion annually kwa reruns worldwide (more than today movie blockbusters), kila member wa friends anapata $20 million dollars.

Matthew Perry kafa kwa stress na drug abuse pamoja na kuwa stable financially.

Hela muhimu ila sio kila kitu.
Ukitaka kujua hela sio kinga ya stress siku moja utatombewa huyo mpenzi wako ambaye unampa kila kitu na kumjaza mahela 😂😂😂
 
Utajiri wa kwanza ni afya njema tu kisha ndio pesa inafuata.
Tuchukulie kuna masikini na tajiri, wote wana utajiri wa afya njema.
Ila masikini hana utajiri wa pesa na huyo tajiri ana utajiri wa hela,
Alafu turudi kwenye context ya mtoa mada,
"Unaweza kukosa furaha?"
Jibu ni ndio, inawezekana, ila kuna uwezekano mkubwa wa tajiri kuwa na furaha kuliko masikini
 
Sawa mkuu uko sahihi! Na vipi unaumwa U.T.I na hauna hata mia tano ya panadol? Furaha utaipata?
Au haujapata hata andazi la shilingi mia tangia asubuhi, furaha utaipata?
Mada haijasema usipokuwa na pesa una furaha, Wala ukiwa na pesa lazima ukose furaha, bali; unaweza ukawa na pesa na usiwe na furaha, in some conditions kama zilivyoelezwa na wenzetu.
Tutafute pesa , lakini si guarantee ya furaha.
 
Ubaya ni kwamba hio afya unayoibeza ndio inaku support kufungua macho, kutembeza miguu na mikono bila kusahau vidole unavyobofya bofya hio simu ili kuandika kebehi kama ulivyofanya humu. Unasahau kuna wenzako walioko Sewahaji na Mwaisela ambao pengine wana fedha hata kukuzidi ila wamelaza mbavu kwa miezi kibao hawana ubavu wa kubonyeza simu.
Na unajua kuna maskini ana afya tele ila usiku wa leo atalala na njaa?
 
Tuchukulie kuna masikini na tajiri, wote wana utajiri wa afya njema.
Ila masikini hana utajiri wa pesa na huyo tajiri ana utajiri wa hela,
Alafu turudi kwenye context ya mtoa mada,
"Unaweza kukosa furaha?"
Jibu ni ndio, inawezekana, ila kuna uwezekano mkubwa wa tajiri kuwa na furaha kuliko masikini
Hapa nakubaliana na wewe sababu tajiri ataweza ku afford comfort zones sababu ana pesa.
 
Afya Bora ni muhimu kwenye utafutaji wa pesa.
Pesa ni muhimu kwa afya Bora.
Furaha na amani sio pesa Ila nimuhimu kuwa na pesa ili uwe mwenye furaha na amani.
 
Kha, kumbe hii hali inatukuta watu wote hapa Duniani enheee! nilidhani ni mimi tu.

Binafsi nisipo kua na fedha nakua mnyonge sana, yani napagawa na kujuta kwa nini nilizaliwa.
Hukosa furaha na kujiisi Dunia imesimama.
Hujawa na uzuni na kumlaumu mpa dingi kwanini alishindwa kunitengezea maisha bora.
Nashindwaga kujinyonga tu.

Ila sasa zikiingia, ghafra furaha hurejea, mwili unanawili hata wazo la kulaumu wazazi halinijii.
Dunia huiona ni sehem safi na salama.

Kiufupi jamani, pesa tamu hata tusiongopeane.
Hayo matatizo hayachagui mtu, haijalishi tajiri au masikini.

Alafu bora uugue ukiwa na pesa kuliko kuugua kipindi hauna pesa.

TUSIO NA PESA TUKAZANE KUZITAFUTA.
Hayo mawazo acha
 
Back
Top Bottom