Hivi kuna muvi Kali zaidi ya Bourne identity?

Best of the best kwa hizi mini series ni "xiii the consiperacy" ni balaaaa

Plus 24Hours ya Bauer na Homeland ya Carrie
 
hapa ktk swala la move,, tumetofautiana sana,,, BORN IDENTITY ni best,, huyu jamaa ni moto MATT DAMON
 
Movie Kali maana yake nini? Unaweza kutupa tafsiri ya 'Movie Kali'? Movie kali inategemea wewe ni nani na una uzoefu kiasi katika kuangalia, au umeshaangalia ngapi na za aina gani hadi useme kwamba hii ni 'movie kali'. Pia inategemea wewe ni mpenzi wa movie gani. Mtu ambaye ameangalia movies kwa miaka 20 lazima tafsiri yake ya 'movie kali' itakuwa tofauti na aliyeangalia movies kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Vinginevyo ni sawasawa kuwauliza watu kwamba 'Hivi Hakuna Chakula Kitamu/Kikali Kama Uji??!!
 
" Daddy is coming" By D. Bashite, hii ni kali sana...

9254109be39b96c3918ba43b681ba5af.jpg
mkuu hili movie inaonekana ni kiboko
 
Zipo nyingi nzuri tu, but kulingana na mfano uliotoa angalia FROM PARIS WITH LOVE utaipenda. Ukiikubali sema ntaje nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom