Hivi kuna kombi ngumu kama pgm

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
wadau nadhan weng mmemaliza f6 na wengi humu hata hamkufikiria kuigusa pgm mana mlijua ni kombi kiboko hivi had saiz kuna kombi ngum kama pgm n.b nimepiga eca koabi rahc WADAU NAITAJI FEEDBACK
 
Ugumu wa kitu ni ugumu wa ww kukielewa nothing more nothing less.

With that been said,PGM is not for you ,you can not easily understand...but for other people it might be just simple as they find it.
 
Hakuna kitu kigumu just follow your excellence success will chase you wherever u are!
 
MiMi NIMEUA 6 MWAKA HUU NA NILIPIGA PGM PIA NILITOKA NA UFAULU MZURI SANA SHULE NZIMA KULIKO COMBINATION ZINGINE ZA SCIENCE NA ART, SO JUA KUA UGUMU WA COMBINATION NI WEWE MWENYEWE KUDHEMBEA MASOMO.PIGA MSULI WA KUTOSHA UTAFAURU TU KUJANA
 
Kwani marubani wetu tulio nao walisoma kombi gani au unataka kutuchanganya hapa kwa sababu wewe umechukua hiyo na kwa taarifa yako kama unaona wewe mjanja sana kwa kuchukua kombi hiyo! umekosea maana soko la ajira ni msala mtupu
 
kijana yuko ryt,combo gumu hilo pamoja na PCB,mcseme 2 kwamba mbona wa2 wanapata A،s,hata hayo mahela na maisha mnayosema ni magumu kuna wa2 kibao wanaenjoy sana 2 na mamilioni,hilo halibadili ugumu wake
 
Hakuna kombi ngumu na kombi rahisi duniani. Ugumu au urahisi ni juu ya kichwa chako. Mimi kipindi nasoma PGM tulikuwa tunataniwa PAGUMU. Cha ajabu waliokuwa wanatuita PAGUMU ndio walifeli halafu mimi nikafaulu. Long live PGM.
.
"LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".
 
mi kuna rafiki yangu anapenda hesabu mbaya, anasema hawezi soma kitu ingine, kapiga masters ya mathematical modelling na ana mpanga wa kufanya phd, lakin mi najua ww umepata efu form fo, na hesabu hutaki tena kuiona.

so ugumu ni ww na kichwa chako tu! kila kitu ni rahisi kama ilivyo kwa PGM
 
Back
Top Bottom