brazilian
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 604
- 112
PCB ni mwisho wa matatizo.
KWELI MKUU YOUNG MASTER, PCB ni mwisho wa kokoto. Sasa wakikuchanganyia na BAM
PCB ni mwisho wa matatizo.
mbona hamsemi huo ugumu ni katika lipi na ukoje? Kipi kigumu? Climatology, map au photography? Ugumu upi? Linear programming au differentiation? Lazima tukubali ugumu wa kitu uko kichwani mwa mtu.nyie nyie jaman ckien 2 PGM>People Gain Material~Physics Geography ADV/MATHEMATICS.. Uc chezee hapo
inawezekana alisoma PGB
Mkuu nakuomba sana usipende kuingilia ugonvi wa wadogozako. Waache wabishane wenyewe we kaa pembeni na PCB yako bwana.KWELI MKUU YOUNG MASTER, PCB ni mwisho wa kokoto. Sasa wakikuchanganyia na BAM
Physics nilipata A, Geography nilipata A, BAM nilipata A......ILA NIMEGUNDUA KOMBI NGUMU NI 'MAISHA'...!
Physics nilipata A, Geography nilipata A, BAM nilipata A......ILA NIMEGUNDUA KOMBI NGUMU NI 'MAISHA'...!
Kijana inavyoonekana wewe na hesabu ni mama mkwe kama siyo baba mkwe. Chamsingi wewe kazana na maths kwani ndo itasaidia kufanya phy vizuri na kufanya GS fresh. Sisi enzi zetu wale waliokuwa wanasoma PGM tulikuwa tunawaita comb ya ART ndani ya sayance kwa kuwa somo la Geography hata comb za art LIMO. Pure science ni PCB na ndo kikomo cha wote. Na ukitaka kuhakikisha waulize madaktari na ndiyo maana wao kumaliza medicine ni miaka mitano. Hata ukiangalia final examination katika combination zote, PCB huwa ni wa mwisho kumaliza maana wao hufanya mitahani 11 katika mchanganuo ufuatao: Physics paper one to paper three kila moja katika sitting tofauti, hali kadhalika katika chemistry na biology na hivyo kufanya jumla ya mitihani 9 ukiunganisha na BAM pamoja na GS unapata 11. HATA HIVYO, PGM uki master hesabu unaula kwani geography utasoma na headphone masikioni na hata hesabu pia. Kumbuka: ugumu wa kitu uko kichwani mwa mtu kwa kuwa mimi binafsi naamini history ni ngumu kuliko physics.
Nasisitiza ugumu upo kichwani mwa mtu!
PCB ni mwisho wa matatizo.
Jukwaa la Elimu (Education Forum) ila poa lakini hizo kombi mimi hata nikipewa hesabu nijisahishie sipati kitu
Good Guyso maisha si magumu at all ryt kuwa m2 maskini ni kichwan 2. So ts nt fair 2 complain daily that lyf z hard. Men dat aint true cus most of d people are actually poor so from dat t means life z hard,mkuu hivi unaona hoja yangu inapoelekea,just bcouse few ppo hav achived somethng successfully t doesnt make t ،easy،,angalia statistics zinasemaje ndo utapata jibu,that ol mental **** dat ،،ts ol in ur head nd stuff،،ts jus 2 help u face ur fears nd challenges ila ukweli utabaki pale pale.Dats wat i thnk.
Good Guy
what causes umasikini?
What causes hard life?
Je hizo statistics zinaeleza chanzo cha haya maswali yangu?
PCB ni mwisho wa matatizo.