Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,148
Sio lazima.
sasa kama sio lazima unashangaa nini??:shock:
Shangaa inakuaje mtu tangu kuzaliwa hadi umri wako hajawahi kusinzia
Wote tutakusaidia kushangaa!!
Sio lazima.
Duh! Watu wana afro mpaka chini? Nalog offkama huna afro imekula kwako
Siku hizi Airbus wana Triple 8...duh! hiyo itakuwa made in NYUMBU..kaaaazi kweli kweli..
Haha jaman watu mikoani wanachekana hawajah fika dar, sasa unajikaz unafika dar unaambiwa ujawah panda ndege ukijikaza ukapanda ndege litaibuka jingne.
Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:
Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed: