Hivi hili la mzumbe university limekaaje?

Asante ndugu. Muungwana usema ukweli, wewe ni muungwana. Ukweli utasaidia kuleta mabadiliko na kurekebisha mapungufu. Sio wengine wanao ficha uozo. Big up!
 
mzumbe kiboko bwana hata kama wana kozi 25 tunawakubali huku maofisini. ukumpa kazi kuifanya hupati tabu. hasa accounts ni wazuri kwa kweli.

Accounts gani? NBAA yenyewe wamegota module E..just go there and ask
 
graduate mzuri wa mzumbe ni yule mwenye background nzuri ya shahada yake. Jamaa yangu mmoja alikataliwa na walimu wa udsm kusainiwa fomu zake kwa ajili ya kwenda kuanza hapo mzumbe.
 
hoya jamani hebu tumieni minds zenu vizuri kama hujasoma mzumbe na haupo mzumbe usiseme chochote kwa sababu tunaosoma na waliosoma wanajua kuna course ngapi na mtu hapimwi kwa idadi ya course bali kwa competence yake kama vp tukutane kwenye knowledge application
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom