Hivi hili ni la kweli kuhusu wahitimu wa mzumbe university?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Hello jf!!eti ni kweli watu wanaograduate mzumbe,pindi wanapoenda kufanya masters kwenye vyuo vingne,wengi wao huwa wanafeli ukilinganisha na wenzao waliotoka udsm na sua,kama ni kweli tatzo ni nin hadi washndwe au ni wapi mzumbe wanapwaya ukiwalinganisha na wenzao wa sua na udsm?
 
Kuna mtu anafeli Masters? How?
 
Kuna mtu anafeli Masters? How?

Sio kufeli tu, hapa udom kuna walimu-tutorial assistants wawili from Mzumbe-wamefeli kamanda na kibarua ndo kimeota mbawa, maana ilibidi waachishwe kazi. Nomaaaa! Na kuna underground movement kwa uongozi kuacha kuchukua candidates from Mzumbe kwa kazi ya kufundisha. It appears wanafaulu sana lakini hawajui kukitoa wakijuacho kwa wanafunzi..........na ugumu na utata ndo unapoanzia hapo!
 
Napita tu. Lakini graduate wa Chuo kipi ndio wanaofaulu? Siku hizi mna raha mnafanya undergound move kupinga graduate wa Mzumbe wasiwafundishe kazi kweli kweli. Msichague walimu waambieni kama hamuwaelewi na wao waboreshe ufundishaji.
 
Sio kufeli tu, hapa udom kuna walimu-tutorial assistants wawili from Mzumbe-wamefeli kamanda na kibarua ndo kimeota mbawa, maana ilibidi waachishwe kazi. Nomaaaa! Na kuna underground movement kwa uongozi kuacha kuchukua candidates from Mzumbe kwa kazi ya kufundisha. It appears wanafaulu sana lakini hawajui kukitoa wakijuacho kwa wanafunzi..........na ugumu na utata ndo unapoanzia hapo!

Hayo ni matatizo binafsi zaidi kuliko chuo husika. High school nilifundishwa Geography na mwalimu aliyesoma UDSM, kipindi kizima alikuwa analalamika tu bila kushusha nondoz za climatology. Hili lilikuwa tatizo lake (udhaifu wa kuelekeza/kufundisha) na si la chuo alichosoma.
 
Hah hah hah! Naona huo ni ujungu tu. Chunguza vizuri kijana. Watu wamegraduate Mzumbe na wameenda kushine kwenye masters. Unatoa takwimu ambazo sio relatively. Huongelei idadi ya wanaofaulu masters.
Kufaulu kwa masters inategemea na mtu na sio chuo. Kwa taarifa yako Mzumbe kama mtu atasoma seriously hapati tabu katika kuandika research za masters kwani anakuwa ana uzoefu wa graduate. Tatizo ni kama mtu alikuwa anasoma kwa kuzima moto, na hii ni tabia ya watu wengi karibu vyuo vyote Tanzania.
 
Hello jf!!eti ni kweli watu wanaograduate mzumbe,pindi wanapoenda kufanya masters kwenye vyuo vingne,wengi wao huwa wanafeli ukilinganisha na wenzao waliotoka udsm na sua,kama ni kweli tatzo ni nin hadi washndwe au ni wapi mzumbe wanapwaya ukiwalinganisha na wenzao wa sua na udsm?

u have longway to go maana hata degree ya kwanza hujamaliza ,Soma kwanza uingie sokoni utajua yote.
 
No research no right to talk!
Lakini ata ludovick utoh mkaguzi mkuu alisoma mzumbe na wengine wengi tu, anyway endelea kufatilia mkuu!
 
Hello jf!!eti ni kweli watu wanaograduate mzumbe,pindi wanapoenda kufanya masters kwenye vyuo vingne,wengi wao huwa wanafeli ukilinganisha na wenzao waliotoka udsm na sua,kama ni kweli tatzo ni nin hadi washndwe au ni wapi mzumbe wanapwaya ukiwalinganisha na wenzao wa sua na udsm?

Toa takwimu ndugu!
 
the problem is with the person not the college from which he comes

Watanzania tuna matatizo sana, huna tofauti na wale wanaosema ufisadi ni wa mtu mmoja mmoja sio wa chama. Mara nyingi mfumo ndio unasababisha udhaifu wa watu husika
 
Watanzania tuna matatizo sana, huna tofauti na wale wanaosema ufisadi ni wa mtu mmoja mmoja sio wa chama. Mara nyingi mfumo ndio unasababisha udhaifu wa watu husika

asante kwa kumjibu mkuu.
 
Zamani kabisa nilivyokuwa level za chini,niliamini sana ya kwamba vyuo vikuu ukifika ndio kila kitu,...yaani walimu bora,facilities mblmbl lakini kudri muda unavyosonga mbele naamini ya kwamba Tanzania hakuna vyuo bora ambavyo vinaweza kukuandaa wewe kama graduate ili baadae uweze kuwa competent unapokwenda kufanya kazi...haswa haswa abroad.vyuo ving vya bongo bado wanatoa elimu ya kubabaisha tu,mm nilijua tatizo ni kwetu...lok kumbe bongo yote inanuka...Hata hao vizabizabina wakina SENETOR wanakifanyia mapambio UDSM kote huku hakuna kitu.kila rafiki nikijaribu kuongea nao kuhusu vyuo vyao na mustakabali wa elimu wanayoipata kwa siku za baadae,wote wanalalamika na mwisho kukiri na kusema "BORA TUGRADUATE,ELIMU SIO BONGO" BONGO NI UBABAISHAJI TU.
Bongo hakuna chuo bora,vyuo vyote vya bongo=secondary school.
UDSM CHUO JINA KUBWA LAKINI HAKUNA ELIMU HAPO,ZAIDI YA VIJANA KUKUA NA KUONGEZA TAKWIMU ZA WANASIASA YA KWAMBA TANZANIA TUNAWOSOMI
 
Back
Top Bottom