Fanya Uchunguzi labda ni salamu ya ki freemasons hiyo wacha kutoa salamu za ku shake hand uwe una kumbatia kutoa salamu ukitaka salamu za freemasons ndio matokeo yake hayo. Salamu za wazinzi ndio za kutekenyana.
sasa first lady lengo lako ni kujenga au kubomoa hiyo tabia .mi nadhani wote wanaokufanyia ni waasherati sasa sioni sababu ya kuwaweka kwenye mabano we walipue tu ili wakome
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.