Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Jamani Napata tabu kuelewa ...ukizingatia nishakula chumvi nyingi sana
Wanamanisha nini unamsalimia mtu kwa kumshika mkono harafu anakutekenya katikati ya kiganja??:confused2:

Nimeuliza hivi kwa mshangao ni baada ya kukutana nayo katika namna tofauti tofauti...hasa ukizingatia mie ni mama mwenye nyumba na pete kubwa kidoleni kuwa nina hati miliki tayari..

1.Tukio la kwanza Nikiwa natoka church nashikana mkono na mtumishi aliyetulisha neno la mungu kama siku zote tunavyofanya enendeni na amani ya bwana ..akafanya kitendo hiki....
:angry:
2. Baba ninayemheshimu sana akiwa na mama watoto wake wote nimewasalimia kwa kuwashika mikono nikakutana na kitendo hiki....
:angry:
3.Nikiwa na mheshimiwa Rais kwenye ziara moja mtu mmoja ngazi za kuheshimika akafanya kitendo hiki..
:angry:
4.Na mtu aliyenifanya niulize zaidi ..mie nimepishana na -Boss ninayemheshimi akafanya kitendo hiki...

****************** Ni Nini?***********************
 
Nami naomba nikuulize kibongobongo (dawa ya moto ni moto)

Wakati unatekenywa katikati ya kiganja:
1. Ulijisikiaje?
2. Uliwaambia nini walokushika?
3. Ulikuwa umevaaje?
4. Kikojoleo kilifanyaje?

Baada ya kusema hayo, hebu twende PM ukanifahamishe kama bado unatamani kutekenywa.

Hitimisho: Usiwape wanaume mkono wako kama mikono yao inakukera. Au akikutekenya nawe hutaki mtemee mate usoni.

Jibu la swali lako:
Wanaume tunatekenya katikati ya viganja kama ishara ya kukutongoza. Ukikaa kimya tunaamini tumekubaliwa tongozo letu. Na ili mwanaume akutekenye anakuwa kishajiridhisha kuwa atakubaliwa tongozo lake. Na mwanamke anapokaa kimya.

CHUKUA TAHADHARI.... Ngono Elimu.:sick:
 
Wana tabia mbaya,
hivi kweli na huyo mtumishi inakuwaje,
siku ukiwa na mume wako mwambie ili
naye akaungamanishwa sala ya toba,

Pole dada.
 
mimi na wewe tena! graph ya upendo ndo inazidi kupaa! ndiyo maana nimechungulia hapa kama na wewe unatakenyaga viganja...:der:
Hahahaha.......... ushasahau mi ni mkaguzi wa manyonyo?

Ntekenye viganja kwani mie mtoto? BTW habari ya Mwanza? Mnaendeleaje? Msalimie mchumba wako.
 
hao wana mapepo ya ngono kwa siku anashikana mikono na wanawake wangapi na anawatekenya wangapi,hata mimi siyapendi majitu kama haya mengine unayaheshimu kabisa:evil::evil:
 
Nami naomba nikuulize kibongobongo (dawa ya moto ni moto)

Wakati unatekenywa katikati ya kiganja:
1. Ulijisikiaje?
2. Uliwaambia nini walokushika?
3. Ulikuwa umevaaje?
4. Kikojoleo kilifanyaje?

Baada ya kusema hayo, hebu twende PM ukanifahamishe kama bado unatamani kutekenywa.

Hitimisho: Usiwape wanaume mkono wako kama mikono yao inakukera. Au akikutekenya nawe hutaki mtemee mate usoni.

Jibu la swali lako:
Wanaume tunatekenya katikati ya viganja kama ishara ya kukutongoza. Ukikaa kimya tunaamini tumekubaliwa tongozo letu. Na ili mwanaume akutekenye anakuwa kishajiridhisha kuwa atakubaliwa tongozo lake. Na mwanamke anapokaa kimya.

CHUKUA TAHADHARI.... Ngono Elimu.:sick:
Asprin Unajua mtu anafanya hivo yaani maeneo ambayo to be honest kwa sababu kila mtu inatokea mara moja moja
kanisani tunatoka watu wengi mnapeana mikoni kafanya hivo nikatoa mkono nikaondoka..kumbe ningesema Pepo mchafu toka ?
Huyo mwingine niko na husband nilifedheheka na mama watoto wake yupo ..Nipe jibu ningesema nini hapo?
Huyo Boss tuko koridoni tunaingia ofisini wengi tu ndo akafanya hivo nimetoa mkono na kuingia ofisini ..Kilichobakia kama ndo hivo ni kuanza kuwapa vifungu vya biblia tu ..Nimechoka
harafu Babu hiyo namba nne mbona swali la hivo tena ni Juu ya nini khaaaaaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
watu wa aina hii wanakera sana lkn kama ODM alivyosema dawa ni kuwaambia ukweli kuonyesha kuwa hujapenda hicho kitendo.
WiseLady hivi kuna mtu amekuzuia kuingia JF ?
Mbona unapotea namna hii
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha.......... ushasahau mi ni mkaguzi wa manyonyo?

Ntekenye viganja kwani mie mtoto? BTW habari ya Mwanza? Mnaendeleaje? Msalimie mchumba wako.
hahaha nisahau vipi wakati ukaguzi ulishapita au kuna awamu mpya? na huko MZA huko ulinipeleka lini? hahaha

halafu wewe....kwa nini nakuita kwenye redio koli huitiki....

Mhandisi radio koli ilikuwa inasumbua lkn sasa nimebadili frequency,nasubiri taarifa
 
harafu babu Asprin ananisema mazingira yanayotokea ni ya kutotegemea kama hili jamaa linaweza nifanyie hivi
We mama wa Kwanza, sema tu ukweli mijamaa ikikutekenya kikojoleo kinapata mhemko, adhawazi ungeshaenda TAMWA au TAWLA kushtaki.

hahaha nisahau vipi wakati ukaguzi ulishapita au kuna awamu mpya? na huko MZA huko ulinipeleka lini? hahaha
Sorry nlichanganya mambo, kumbe uko Kigoma. Msalimie basi huyo unayelala naye uchi bila kutenda dhambi.
 
We mama wa Kwanza, sema tu ukweli mijamaa ikikutekenya kikojoleo kinapata mhemko, adhawazi ungeshaenda TAMWA au TAWLA kushtaki.

Sorry nlichanganya mambo, kumbe uko Kigoma. Msalimie basi huyo unayelala naye uchi bila kutenda dhambi.

yaani Babu Asprin hahahaha mbona unanilzamisha ? ndo maana nimekuja hapa kupata ushauri before kwenda kwa Tamwa kumshitaki baba Paroko

Naleta mashitaka kwako unisaidie....Ni week ya tatu sasa ...
 
Hiyo ni hatua ya kwanza katika kukutongoza,kwani ukitabasamu tu umempa nyenzo na nguvu ya kukutokea vizuri ila ukikunja ndita maana yake ni kuwa umechukia kile kitendo, punguza kuuza sura,muuzie mumeo,au unawatega?
 
Back
Top Bottom