Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

Hivi tarehe 18 na tarehe 16 zina uhusiano gani Kaizer? Ni siku za biya au siku ya wasokunywa biya?

Asee Asprin, hizo tarehe zote ni weekend...so ni siku za wanaopiga Biya....unaamka biya unalala biya.....sasa Subiri Mentor aje na theory zake hapa....sema biya unazinywea wapi na nani? chezo lipo hapo
 
Last edited by a moderator:

Umesahau na kimoja: Na Wakati gani.... Manake wenye ndoa zetu takatifu ifikapo saa nne lazima turejeamo tabenako....
 
Inawezekana pindi mnapokutanisha uso unatoa tabasamu tata kiasi kwamba linawafanya wawe na mawazo yale..........

Vaa sura ya kazi
 
Afu we mshiki Preta ndo nini vile hujanambia kuwa weye ushabatizwa kuwa Gold Member wa JF. Umechangia kreti ngapi za bia mpaka kuupata huo ujiko?

he he he.....utanikomajeeeeee

sent from the half caste of iphone5 and samsung galaxy 6
 
Asee Asprin, hizo tarehe zote ni weekend...so ni siku za wanaopiga Biya....unaamka biya unalala biya.....sasa Subiri Mentor aje na theory zake hapa....sema biya unazinywea wapi na nani? chezo lipo hapo

uwiiiiiii........nawatakajeeeeeee......

sent from the half caste of iphone5 and samsung galaxy 6
 
hapa manatekenyana sio? ngoja nieendelee kuzichanga niuupate U tanzanite member lol

Yaani watu mko wachokozi sana Kimey yaani mie nimetekenye baba mchungaji jamani
Hiyo dhambi ya kumtia majaribuni nitaibebea wapi??
 
Last edited by a moderator:
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom