Hivi baadhi ya hawa wanaume huwa wanamaanisha nini???

Woga wako tu mama nanii! Ukubwa wote huo..watanzania ni wakarimu usiogope! Tena siku nyingine onesha ushirikiano kwa kukonyeza!
 
Fanya Uchunguzi labda ni salamu ya ki freemasons hiyo wacha kutoa salamu za ku shake hand uwe una kumbatia kutoa salamu ukitaka salamu za freemasons ndio matokeo yake hayo. Salamu za wazinzi ndio za kutekenyana.
 
Mi nilishaacha kusalimiana kwa kushikana mikono. Wanaume wengine wanamasturbate kila sekunde na hawakumbuki hata kunawa mikono.
 
Back
Top Bottom