Historia ya Wachagga: Koo, Kabila na Falme-Mangi

thnkx ndugu kwa historia yangu nzuri yenye kuvutia, imenifanya nijitambue vema na vizaz vya wazee wetu kulewalikotoka...maswali
1-kabla ya yote hayo kutokea na kupelekea wachaga kutengana kwa tofauti zao. Je! Ni lugha ipi ya pamoja uliyokuwa inatumika, ukiacha kwa sasa kuna kimachame, kimarangu, kirombo, nk?
2-Napenda kufahamu koo cha machame, kunakoo ngapi!? Ukizi orodhesha chache kubwa kabisa itakuwa vema.

Uronu,

Kuhusu tofauti tofauti zilizopo kati ya wachaga nadhani unaweza kusoma utangulizi kwenye hii website itakupa mwanga ingawa kidogo: Machame - Wikipedia, the free encyclopedia.

Juu ya koo za Machame ni vigumu sana kujua leo hii kutokana na kuongezeka kwa watu na wengine kutumia majina mbalimbali hasa ukichukulia kwamba hizi mila na desturi na koo ni za siku nyingi sana. Ningekushauri uulize wazee wa maeneo hayo (Machame) kama utafanikiwa kuwaona watakusaidia. Kichaga, kwa kawaida wamekuwa wakitumia majina ama ya familia au ya ukoo (kwa upana wake zaidi). Kwa mfano, Marealle ni jina la familia na siyo la ukoo. Kama wakitumia jina la ukoo ni Lyimo. Vilevile Shangali ni jina la familia. Wakiamua kutumia jina la ukoo ni Kombe. Pia wachaga, hasa wamachame, wanaonekana kwa asili walitumia jina la mtoto na la baba yake zaidi. Inaonekana siyo asili ya wamachame kutumia jina la ukoo. Ukoo ulifahamika tu katika jamii kutokana na watu kujuana sana miaka hiyo na hasa ukichukulia kwamba wabantu kwa asili waliishi kiukoo kwenye maeneo mamoja. Kwa hiyo waliweza kujua huyu anayeishi sehemu fulani ni wa ukoo fulani. Hii pia nayo imechangia kwa kiasi kikubwa kupoteza historia za koo siku hizi labda mpaka watu waulizeulize sana.

Hata hivyo kuna koo kubwa zinazofahamika Machame. Nyingine zipo ingawa si rahisi kujua kama ni majina ya mababu au ni ya ukoo. Ukiulizia kwa uhakika utaweza kufahamishwa zaidi na wenyeji wa huko. Nitataja koo chache hapa:

Sawe (au Massawe), Lema, Nkya (wengine wanatumia Munisi), Kombe (ingawa kutokana na sababu za kisiasa kule uchagani na inaaminika pia na ushauri wa wakoloni, wengi wa ukoo huu wametumia Mushi pia, ili kufananisha koo za kiutawala kule uchagani kwa kutumia jina moja kuondoa migongano na uhasama iliyokuwepo; Mashariki ya uchagani wanatumia Moshi kama jina la ukoo), Shoo, Mboro (wengine wametumia Ndossi, Makere, n.k. kwa sababu ya machafuko ya kisiasa yaliyotokea kule Masama wakati wa utawala wa mangi Ndesserua), Kimaro, Swai, Mwaanga, na Mfuru (hawa walikuwa maarufu kwa ufuaji chuma). Kuna koo zingine ambazo siyo kubwa sana kama vile Urassa, Shuma, Kweka, Uronu, Mwasha, na Tarimo (huu ni ukoo mdogo sana Machame na asili yake ni tata kidogo. Pamoja na kutokuwa na uhakika sana lakini inaonekana kwamba walihamia kwanza Masama wakiwa ni jamii ya wamasai. Ni vigumu kujua kwa nini walitumia jina la Tarimo ambalo ni maarufu kule mashariki ya uchagani na siyo Machame. Pamoja na kwamba ulikuwa ni ukoo mdogo lakini ulikuwa na utajiri wa mifugo na uliheshimika sana Masama. Kumbukumbu kubwa ni kwamba binti wa kiongozi wa familia hiyo ndiyo alikuwa mama yake na Ndesserua. Hata hivyo wakati wa machafuko kule Masama wakati wa utawala wa Ndesserua mwenyewe, ulisababisha ukoo huo ugawanyike, wengine wakimbilie Rombo na wengine wachache sana wabaki Masama. Kule Rombo wametumia majina ya Tarimo, Marandu, na Maruma).

Hiyo ni kwa ufupi sana. Kama nilivyokuelekeza, nadhani itakuwa vizuri zaidi ukipata ufahamu zaidi kwa kuwauliza wazee wa koo mbalimbali kule Machame, wanaweza kukusaidia sana.
 
Thnx vry much. I much explicity understnd my tribe as machamenist. Wel bro coz ni wachache mno mliobarikiwa kufahamu historia ya makabila yetu kama ww, b blessed bra.
 
Makupa kama jina lako lilivyo unajulikana kuwa wewe ni mmarangu wa mwika, mamba au kokirie na kwa asili wamarangu mnajulikana kuwa wanawake ni malaya wa kutupwa na mna dharau za kipumbavu sana hata kama ni maskini kama mbwa na ndiyo maana hauwezi kuwatambua wenzako kama wachaga shame on you! Litle Thinker.

nahisi kuwa elimu yako ni ndogo sana ,kwa kifupi tu maana ya kabila moja ni kuwa ni lazima muunganishwe na lugha moja kwa hivyo basi warombo wana lugha yao ,hata wamachame na wakibosho hivyo hapo kuna kabila tatu
 
Makupa please, mwache Jones aendelee kutupa elimu hapa, habari zake nyingi zinaelekea ku corraborate na habari ambazo wengi wetu tumekuwa tukipata simulizi zake.

Mkuu Jones ntakuja na maswali kadhaa nikishapata nafasi ya kujua haswa nini nachotaka kuuliza, shukran.
 
nimeipotezea hii thread kwa muda mrefu Kwani ckuona Kama ina umuhimu Katika nchi ya makabila zaidi ya 120, leo nikaona nijielimishe kunani? Haya maoni yangu.
1. Ninaheshimu mawazo ya wengine, michango tape n.k, Lakini thread hii imepewa ukubwa na uzito usio na msingi. Kuisticky? Kweli jamani?
2. Title na kilichomo dont match. Nilidhan kuna story kamili Kumbe ni mjadala wa wachaga, who is who in kilimanjaro?
3. Si Sawa kuhusisha cdm na mivutano ya kikabila urombo,chame etc. Makabila yote yameguswa na cdm, huu ni upupu
4. Thread iondolewe Hapo juu othetwise jf mnataka kuiua cdm, kwa hiyo tone ya umachame.
 
Ndugu yangu Jmoshi huyu Jones anapindisha ukweli kimsing mkoa wa Kilimanjaro una makabila saba na ni vizuri kama anaonglea kabila la wachagga awe mkweli kwa maana WAMACHAME,WAROMBO NA WAKIBOSHO SIO WACHAGGA
 
Itawasaidia kupata elimu na kutambua kuwa CHADEMA siyo chama cha "wachagga" kama wengi wenu mnavyoaminisha watu.

Kama huna la kijufunza basi pole.
 
Ndugu yangu Jmoshi huyu Jones anapindisha ukweli kimsing mkoa wa Kilimanjaro una makabila saba na ni vizuri kama anaonglea kabila la wachagga awe mkweli kwa maana WAMACHAME,WAROMBO NA WAKIBOSHO SIO WACHAGGA
Makupa, ndo maana ya thread, sema basi kama siyo wachagga ni nani, kuwa specific.

Ndugu Jones, na hao Mushi wametokana wapi na Sina?

Pia si kuna Mushi both from Machame and Kibosho?
 
Jmoshi kama nilivyosema Wamachame kabila lao ni WAMACHAME,WAKIBOSHO NA WAROMBO HIVYO HIVYO na hii inatokana na ukweli kwamba kabila linajengwa na lugha na ndio maana mmasai wa kenya anaongea lugha moja sawa na mmsai wa Tanzania.
 
Makupa sikuelewi, halafu siyo Moshi ni Mushi.
 
Bwana Jmushi ukweli ni kwamba jamii inaweza kuitwa kuwa ni kabila moja tu kwa msingi wa kuongea lugha moja ya mama ,kiulisia mrombo haongei lugha moja na mmachame,vile vile mkibosho ana lugha tofauti kabisa ,lakini ukiangalia mfano kabila la wamasi lugha yao ni moja ndio maana mmasai wa kenya akienda arusha haimpi.shida kuongea na mmsai wa tanzania.
 
Ts true kwamba machame, marangu,kibosho, na rombo hawashei language but within rombo itself kuna diversity ya lugha....mtu wa rombo mkuu anaweza asielewane na m2 wa tarakea, usseri na mashati pia.....je 2seme rombo nako kuna makabila tofauti or ts jus dilectical variation over languages??
 
Bwana Vmark ukweli ni kwamba kama ROMBO KWENYEWE wanatofautiana Lugha basi elewa ya kuwa Warombo nao kuna kabila zaidi ya moja , mfano musoma kuna makabila zaidi ya nane na wameweza kujitofautisha kutokana na lugha sasa nyie Wana Kilimanjaro mnapoambiwa kuwa Wamachame,Warombo , Wakibosho Na Wajunjo ( Marangu,Kilema,Kirua Vunjo,Mwiko, na Mamba) si kabila moja kwanini mnasita kukubali ukweli
 
Jmoshi kama nilivyosema Wamachame kabila lao ni WAMACHAME,WAKIBOSHO NA WAROMBO HIVYO HIVYO na hii inatokana na ukweli kwamba kabila linajengwa na lugha na ndio maana mmasai wa kenya anaongea lugha moja sawa na mmsai wa Tanzania.

sijawahi kuchangia kwenye huu uzi ingawa na mimi nina damu ya Uchagani.
Suala la lugha kama kipimo pekee si sawa Makupa, kabila ni utamaduni, na utamaduni una vigezo kama vitano hivi; jadi/mila, desturi ambayo hujumlisha mavazi, vyakula, salamu n.k, sanaa, lugha, dini na nyenzo za kazi. Ni vema ungekuwa na utofauti kati ya Wamachame, Wamarangu na Warombo katika vigezo vyote hapo juu, tuvijadili na mwisho tuhitimishe kama hili ni kabila moja au la? Kuhusu Warombo kuwa wachaga au la mimi sina hakika, ila katika lugha yao wao hujiita 'vashaka', ambayo hata kimuundo utaona kuwa hilo neno lina maana ya 'wachaga', ila wasio Warombo, huwa wanaitwa 'chasaka' au 'mmwai' au 'changutu', nadhani wewe pia unahusika hapa.
Sawasawa?
 
Ukweli huwa siku zote unauma ila kiualisia Warombo,Wamachame, Wakibosho na Wanjo( Kirua,Kilema,Mwika,na Mamba) si kabila moja hata kidogo kwani pamoja na kutofatiana lugha vile vile tamudini zinatofautiana mfano mdogo tu WAROMBO wanaamini sana kufanya matambiko wakati asilimia kubwa ya wana VUNJO huu utamaduni haupo kabisa
 
mbona unaruka hoja za msingi Maqupper?
Suala la kuwa makabila tofauti kati ya hao uliowataja haliumi na wala halina sababu ya kuuma, FYI. Nimekupa vigezo vya utamaduni, ambavyo ndio likely kufanya mfanano wa kijamii, hence KABILA, nikakuomba uvimwage kimoja kwa kingine, ili tutazame kwa ujumla wake kisha tufike hitimisho kama Warombo, Wamachame na Wakibosho ni wachaga au la? Badala yake umekuja na kigezo kimoja cha matambiko, halafu ukadai kuwa waVunjo hawafanyi matambiko (madai ambayo hayajathibitishwa), na hapo juu ukaja na mipasho ya ukweli unauma, ambayo hata sielewi msingi wake. By the way, wewe unaona kuwa na ethnic tie na watu fulani ni ishu eh? Leo hii Wizara ya Utamaduni ikitangaza kuwa Warombo, Wamachame na Wakibosho si Wachaga unafikiri kuna mtu ataandamana?
Poor!
 
Back
Top Bottom