Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,767
Ntakupa pichu yangu uifue
dwuh.!!! ila co mbaya, ikikauka ntakuvalisha mwenyew...
Ntakupa pichu yangu uifue
Nina hakika Thrade hii mimi hainihusu !
Niendelee tu kusoma mitiririsho!
Afu Mamsap hapo kwenye kufuliwa kufuli , nimepa'bold , hebu pashereheshe! Sijapaelewa kiufasaha !
Na mm naruhusiwa kuguess??!
@st paka mweusi...u almost nailed it..gv t another try with very minor corrections here n there....
usitishie nyau mtu mzima. kijanahujaelewa nini thatha.. we subiri upewe matokeo ya mpambano.!!!
Nimebaki nashangaa kipenzi changu huniisivyo nkais labda we pweza mpenz? Hahaaaa mhh bonge nyanya cl hii ni neemasweetlo have u seen my comment? mbna umei-skip?
St. Paka njoo mhisi dadaMe kijukuu cha Mtume,
Huwezi kunihisi.
Hebu jaribu na ukipata nitakupa zawadi ya ushindi...!!!
lol'est..¿¿
St. Paka njoo mhisi dada
Tena my young muite huyo Mtakatifu Paka tuone huo u-Shehe Yahaya wake anaotaka kuniletea
Alafu huyu Paka sijui wa njano! Sijui wa blue , sisi wanaume wa chtcht mida hii tuko vibaruani , yeye yuko hom anachekacheka na wake zetu! Hata kama mpakarangi wa kucha au muuza udi na urembo mwambieni wenye nyumba hatutaki biashara zake.
Tunahitaji Paka mweupe sasa!
Umeenda nje ya mada! Utakatwa!
aifue au aivue sioni vizuri maandishi papanua ooh sorry fafanua kidogo.Ntakupa pichu yangu uifue
Umeenda nje ya mada! Utakatwa!
Alafu huyu Paka sijui wa njano! Sijui wa blue , sisi wanaume wa chtcht mida hii tuko vibaruani , yeye yuko hom anachekacheka na wake zetu! Hata kama mpakarangi wa kucha au muuza udi na urembo mwambieni wenye nyumba hatutaki biashara zake.
Tunahitaji Paka mweupe sasa!
Tena my young muite huyo Mtakatifu Paka tuone huo u-Shehe Yahaya wake anaotaka kuniletea
Me nahisi mdogo mdogo flani hivi. Si mweupe wala si mweusi.