hisia zako!!!!!

naisi ww ni mrembo sana na unajipenda sana na pia unapenda utani sana ila sio wakupitiliza
 
naisi ww ni mrembo sana na unajipenda sana na pia unapenda utani sana ila sio wakupitiliza

Kinywaji si nilikwisha kuagizia!
Mwite mangi umuodeshe nyama tafadhali , sijui kwa Babu kama nyama siyo ya nadra , maana idadi yenu kama mnajaza Hiace hivi!
 
Unasoma chuo hapa jijini,unaishi cnza,maji ya kunde unapenda kuckiliza taarabu mtu wa vigodoro, mmmmhhhhh sio mnene sana umejazia nyuma unarizisha mtu mwenye hasira sana,...una vigimbi hata ukiwa mwana riadha usain bolt hakukamati...............bhaaaaaaassssssss

Its ney once again

Hahahahahahahah najuuuuta
 
Kinywaji si nilikwisha kuagizia!
Mwite mangi umuodeshe nyama tafadhali , sijui kwa Babu kama nyama siyo ya nadra , maana idadi yenu kama mnajaza Hiace hivi!

Hahahhaahaha hunie si uchukue ile noah kama hais hawatoshiii
 
Nahisi ni kakijeba flani hivi ka kike, kameota vigimbi miguuni...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom