hisia zako!!!!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
za sa hizi wanajamvi wazima ninyi? Mi nataka kujua kitu kutoka kwenu nahitaji kujua ivi unahisi beibe nasty a.k.a jg'S wife anamuonekano upi? N atakua mtu wa aina gaani?

Nawasilisha.
 
Mdogo wangu wewe ni Mdada Mstaarabu,
Mzuri kwa Umbo na sura halafu bado ni Mwanachuo.

Hisia Zangu Ni Hizo ila Nawasubiri Na Wenzangu Waje.
 
me nahc wewe ni bonge bonge afu mfupi kidogo, choklet color. msongo sana (unapenda kusoma) sista du kidogo na unakwenda na wakati
 
Moja u r beautiful,hilo kwangu halina ubishi,Pili u r honest sina uhakika kwa hili,Tatu u r not nasty as u r trying to express u r self here(not tiGo)
 
Nahisi wewe ndio yule mama bonge la mtu jeupe anakuaga usiku pale corner bar kwa mbele ukipinda kona ukiwa unaelekea sinza anakaa upande wa kulia.
 
Na mimi naruhusiwa kuhisi my wi? Najua unajua kuwa nakujua vizuri, waweza niruhusu nihisi kiuongo uongo. Lol
 
Nina hakika Thrade hii mimi hainihusu !
Niendelee tu kusoma mitiririsho!
Afu Mamsap hapo kwenye kufuliwa kufuli , nimepa'bold , hebu pashereheshe! Sijapaelewa kiufasaha !

Hunie huyu si anatafuta kazi kijanja sa mi ntampatia zile kufuli zile za naniliu azifuee mpaka atoke mbio hakuna lingineo bby
 
Hunie huyu si anatafuta kazi kijanja sa mi ntampatia zile kufuli zile za naniliu azifuee mpaka atoke mbio hakuna lingineo bby

Ok ! Ok !
Nimekufehemu atakua anafua zile na after back frm NASA !
Hapo shwari ! Mwite muhudumu , atuchomee nyama eti eeh ! Mwambie ikauke vizuri .
Kula nyama Mamiy, maisha yenyewe mafupi haya!
 
Ok ! Ok !
Nimekufehemu atakua anafua zile na after back frm NASA !
Hapo shwari ! Mwite muhudumu , atuchomee nyama eti eeh ! Mwambie ikauke vizuri .
Kula nyama Mamiy, maisha yenyewe mafupi haya!

Muhudumu nyamachoma hapa mi savanah nahitaj, huyu laaziz wangu mletee mnazi au komon, bila kusahau pilipil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom