Elections 2010 Hili Ndilo Neno La Mama Salma

Hivi huyu Mama alishawahi kutembelea zile shule za msingi alizokuwa anafundisha? Natumaini HAPANA - vinginevyo asingethubutu kutamka hayo maneno!

BTW: Haya majengo (mengine hayana hata madirisha) yanayopewa jina "shule za kata" ni SHULE kweli?

Kaka nahisi una tatizo kubwa sana katika kuchambua takwimu.Unaposema vijiji havina vyoo unapaswa kusema ni vijiji vingapi kati ya vingapi.Unapaswa pia kusema nini kimefanyika na nini kinafanyika.Huwezi kusema tu shule hazina madirisha au watoto wanakaa chini.Sema pia wangapi kati ya wangapi na nini kinafanyika.
 
kweli nyani haoni ku...,mbona ccm wanapotoa data hawatuambii .malengo yalikuwa yepi?ngapi zimeibiwa?uzembe gani umefanyika?wenzetu nchi tulizokuwa nazo sawa wak
 
Hivi 2005 wakati serikali inaingia madarakani tuliiuliza malengo yao?Si ilikuwa haki yetu kuuliza na kupata majibu sahihi?Sasa zinapotolewa takwimu hapa bila kuwa na cha kulinganisha tunalalamika nini?Wakati huo tulikuwa bize tunajadili visa na udaku.Matokeo ndo haya.
 
Back
Top Bottom