Elections 2010 Hili Ndilo Neno La Mama Salma

She speaks rubbish,, all the time..

For sure our constitution on on the dustbin how can the first lady campaign for the husband using government resource and we are just keeping quite...

One day they will pay.. One day... I mean one day...
 
mama kwa nini usitulie nyumbani uwapikie wanao na wajukuu zako?mmeo anazunguka na nani kwenye kampeni kama unapenda siasa gombea udiwani au ubunge
 
Ndugu Lukolo na Msanilo, kwanza ni vyema kuwa na heshima kwa viongozi wako wa nchi . Onyesha utu kwani janga (disaster) mtu hachagui hta kesho yako wewe mwenyewe huijui tumwachie Mungu, tunachoshukuru Rais wetu na First Lady wetu ni wazima na Mungu aendelee kuwalinda. Kuhusu maendeleo naomba nikukumbushae mtaalam maalum mwanafalsafa ambaye amewahi kuwa Rais wa Urusi Bwana Lenin, alisema "two steps forward and one step backward" tunapozungumzia maendfeleo mtu anajum,uisha rasilimali nyingi za Serikali , wafadhili, na nguvu za wananchi ili waone chao , watakilinda , watakimiliki, watakiendeleza, na hatimaye watakistawisha. Hiyo ya kupewa tu wat hawaelewi uchungu wake naomba ulielewe hilo na staili ya maendeleo ya kiongozi mmoja si lazima na mwingine aitumie ile ile.
 
tatizo la tandaleone ni moja tu haelewi nini maana ya shule,yeye anajua shule ni majengo na ndo maana hata aelewi mnapomwambia shule ni majengo wanafunzi walimu na vifaa vya kufundishia..hao wanafunzi anaosema wapo chuo kikuu walisoma wapi maana shule za kata hakuna walimu hakuna vitabu na hilo analijua...kaamua kubusha tu na hata data moja hana maana wengine wanatoa data yeye kabaki kubisha eti kuna wanafunzi wa kata udsm?lol ukimuuliza akupe hata idadi hawezi kutoa,majibu yake kama JK
 
Ndugu Lukolo na Msanilo, kwanza ni vyema kuwa na heshima kwa viongozi wako wa nchi . Onyesha utu kwani janga (disaster) mtu hachagui hta kesho yako wewe mwenyewe huijui tumwachie Mungu, tunachoshukuru Rais wetu na First Lady wetu ni wazima na Mungu aendelee kuwalinda. Kuhusu maendeleo naomba nikukumbushae mtaalam maalum mwanafalsafa ambaye amewahi kuwa Rais wa Urusi Bwana Lenin, alisema "two steps forward and one step backward" tunapozungumzia maendfeleo mtu anajum,uisha rasilimali nyingi za Serikali , wafadhili, na nguvu za wananchi ili waone chao , watakilinda , watakimiliki, watakiendeleza, na hatimaye watakistawisha. Hiyo ya

kupewa tu wat hawaelewi uchungu wake naomba ulielewe hilo na staili ya maendeleo ya kiongozi mmoja si lazima

mwingine aitumie ile ile.

Kuna watu wa kuwaheshimu sio hawa
 
She speaks rubbish,, all the time..

For sure our constitution on on the dustbin how can the first lady campaign for the husband using government resource and we are just keeping quite...

One day they will pay.. One day... I mean one day...
Kinana umemuelewa?
 
Afadhali ya Mama Salima Kikwete kumsaidia Rais Kikwete kukampeini; after all, Salma ni mke wa Rais wa Tanzania! Lakini huyu “kimada” wa Dr Slaa (Josephine Mashumbushi) kuanza kupanda kwenye majukwa na kutamba, “Watu wa Karatu najua kuwa mnajua ninawapenda ... mmesikia mengi lakini sitajibu kitu maana najua mtetezi wangu yu hai,” haingii kabisa kichwani!
 
Afadhali ya Mama Salima Kikwete kumsaidia Rais Kikwete kukampeini; after all, Salma ni mke wa Rais wa Tanzania! Lakini huyu “kimada” wa Dr Slaa (Josephine Mashumbushi) kuanza kupanda kwenye majukwa na kutamba, “Watu wa Karatu najua kuwa mnajua ninawapenda ... mmesikia mengi lakini sitajibu kitu maana najua mtetezi wangu yu hai,” haingii kabisa kichwani!

Acha apande bwana ulisikia wamemkataa???????? wanamjua vizuri sana wanamkubali sana.ccm hamna sera,Salma siyo saizi ya Josephine wala halinganishwi nae.mmmmm angekuwa anakubalika na mme wake Kikwete angezunguka naye na kumsaidia asiendelee kuanguka,kila baada ya siku mbili anaanguka mnafikiri hatuzipati?

mwaka huu yakenu hamyasemi ya wenzenu midomo juu muache mama wa watu Phina.

mtasema sana kama alivyo sema Mtetezi wangu yu hai,Kumbe iliwagusaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.na mtakoma atapanda kila mahali na wanamkubali.sijawi kusikia watu wanamshangilia Salma lakini huyu kila anaposimama watu wanashangilia sasa wewe kama ulitaka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kazi kwako

Chadema hatuna mda mchafu wa malumbano,kazi mdundo mpaka kieleweke.


HATUDANGANYIKI MWAKA HUU.
 
Tuma ujumbe uliomo kwenye video hii kwa watu 50 wakiwemo waliokutuma waambie



HATUDANGANYIKI TENA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom