Hii Sio haki!??

Chongole

Member
Jun 28, 2012
15
0
Mwalimu mmoja ameripoti kwa ajiri ya kuanza kazi kama walivyopangwa hivi karibuni, mkuu wa shule kampokea halafu akamkaribisha alale store, chumba ambacho hakuna Hata dirisha, huyu mwalimu aliyekaribishwa ni mjamzito, je, haki ya Binadamu iko wapi hususan wajawazito? ni huko Tarime mkoani mara
 
Je hiyo ni shule gani, Mkuu wa shule anaitwa nani? Halmashauri gani? Mkoa gani?
Hizi senario zitakoma lini? Nchi hii kila mtu ni mfalme. Watanzania tunaishi kama ukoo wa kambale, yaani mama ana ndevu na baba anazo ndevu, pia watoto.
 
Back
Top Bottom