hawawezi zuia moto, moshi ushaanza kufuka mwigulu wewe ni dada tuu mbele ya CM
Mwigulu ana hulka ya kupenda favour ta polisi. Ila strategy hii anayotumia inampaisha Dr Kitila labla kesi iendeshewe Dar. Hapa hakuna uchochezi wa Dr Kitila mchochezi ni yule aliyewatuma watu wakafanye fujo kwenye mkutano wa CDM. CCM wasidhani kuwa vitendo hivi vya uonevu na upendeleo wa Polisi vinaimarisha chama chao, bali vinaimarisha upinzani zaidi. Ukishindwa hoja kwenye majukwaa basi rudi ukajipande siyo kutumia dola ku-supress your oponent.
Dr. Kitila ninamfahamu vizuri sana toka akiwa rais wa DARUSO, ni mtu mwenye charisma ya uongozi na msimamo usiotetereka. Kitila is a leader not Coward like those who are afraiding him and use Police to intimidate him. Nchemba asidhani kuwa kupewa uweka hazina wa CCM basi ni cheo kitakachomfanya yeye apae kisiasa la!, ukisubiri kupakatwa kisiasa ili upae ujue umekwisha maana siku aliyekupakata akianguka na wewe unaenda nae chini. Mwigulu alikuwa na nafasi nzuri ya kujijenga kisiasa kwa kujifunza kutoa hoja zenye mashiko siyo taking personal praise and being scallywag