Hii sasa Imezidi: Dr. Kitila Mkumbo kupandishwa kizimbani kwa Uchochezi!

Mwigulu anamwaga petrol kwenye moto akizani ni maji. Hahahahahahahahahahahaha na amfunge hadi 2016 labda ndio itakuwa afadhali kwake vinginevyo ni maumivu tu.
 
Msomi mzima hana akili, naye anasimama kwenye jukwaa tena nyumbani kwao anachochea vijana wake wa kazi kuuwa. Kwa nini hao akina Mbowe hatusikii wakiuawa huko kwao?

Tatizo la kusoma vichwa vya habari vya magazeti bila kufuatilia habari kwa undani matokeo yake unaibuka na hoja kama hizi, ungekuwa wewe ni police nadhani mahabusu zingekuwa zimejaa maana unatoa conclusion na hukumu kabisa pasipofanya uchunguzi
 
ningekuwa mi ndo hakimu,ningetoa hukumu kitila mkumbo apigwe miaka 300 na viboko ishirini,kumi wakati anaingia,kumi wakati anatoka akamwonyeshe mke wake.

Tangu lini mahakimu wakawa na akili fupi kama yako. Dr. Kitila Mkumbo atashinda hiyo kesi ya kubumba na mwaka 2015 wewe na bosi wako chemba mnabaki kijiweni kuchoma mahindi!
 
Last edited by a moderator:
nahisi asiye na akili ni wewe unaekurupuka na kuongea usichokielewe,,, Dr Kitila alisimama kuongea wakati vurugu zimeshamalizika, na kauli yake ya kwanza ilikuwa ni kushangaa vurugu hizo kwa kusema wanyiramba hatujawahi kuwa wahuni na kwamba hizi vurugu za leo zimeichafua Iramba...usikurupuke kama umefumaniwa na kuropoka ovyo!!!
 
Tatizo la kusoma vichwa vya habari vya magazeti bila kufuatilia habari kwa undani matokeo yake unaibuka na hoja kama hizi, ungekuwa wewe ni police nadhani mahabusu zingekuwa zimejaa maana unatoa conclusion na hukumu kabisa pasipofanya uchunguzi

wewe ambaye unapatia taarifa zako kwny magazeti ;bona umeshindwa kumshauri huyo kitulo na mnyika wake wasiuwe?kwanini walimkimbiza yohana hadi kwny nyumba ya mwalim na kumuua?nao wanyongwe tu.
 
Nyie kazi yenu kupora wake za watu na udisko joker tu,mmeshindwa hoja bungeni mnaanza matusi.shame on u all.
 
Katika kile kinachoonekana ni vita sasa kati ya serikali na CDM jeshi la polisi nchini limeamua kumfungulia mashtaka mhadhiri wa chuo kikuu cha DSM na mjumbe wa Kamati kuu CDM Dr Kitila Mkumbo kwa kile wanachodai ni uchochezi wake aliofanya siku alipohutubia mkutano katika kata ya Ndago jimbo la Iramba Magharibi.
Wachunguzi wa mambo wanadai mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba ameapa kutumia kila njia kumzuia Dr Kitila Mkumbo asipate nafasi ya kugombea katika jimbo hilo hasa kutokana na kuwa Dr Kitila ni chaguo la wanaIramba wengi na ana heshima kubwa huki kwao hasa kutokana na hekima na busara zake anapozungumza.
Wakati anaapa ulikuwepo?mkumbo ana umaarufu gani hadi mtu aumize kichwa,mweupe sana yule.
 
wewe ambaye unapatia taarifa zako kwny magazeti ;bona umeshindwa kumshauri huyo kitulo na mnyika wake wasiuwe?kwanini walimkimbiza yohana hadi kwny nyumba ya mwalim na kumuua?nao wanyongwe tu.

Kama wameua mbona wapo nje, tangu lini kosa la kuua mtuhumiwa akawa nje
 
Mimi nilikuwepo kwenye mkutano. Dr hakufanya uchochezi wowote.

Hivi wewe unawaonaje hawa polisi wetu? Kama kwenye issue sensitive kama ya kutekwa Dr. Ulimboka mpaka leo wameshindwa kumuhisi hata Mtekaji mmoja wakaibuka na Kichaa wa watu, sasa hawa nao ni watu wa kuwahesabia kwamba wanatumia akili kufikiri?
 
Katika kile kinachoonekana ni vita sasa kati ya serikali na CDM jeshi la polisi nchini limeamua kumfungulia mashtaka mhadhiri wa chuo kikuu cha DSM na mjumbe wa Kamati kuu CDM Dr Kitila Mkumbo kwa kile wanachodai ni uchochezi wake aliofanya siku alipohutubia mkutano katika kata ya Ndago jimbo la Iramba Magharibi.
Wachunguzi wa mambo wanadai mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba ameapa kutumia kila njia kumzuia Dr Kitila Mkumbo asipate nafasi ya kugombea katika jimbo hilo hasa kutokana na kuwa Dr Kitila ni chaguo la wanaIramba wengi na ana heshima kubwa huki kwao hasa kutokana na hekima na busara zake anapozungumza.

Source: ITV (Dondoo za gazeti la Nipashe la Ijumaa)

Hao serikali wameweza kushinda kesi ngapi kati ya hizo? wangapi wamefungwa au kupigwa faini? kama matokeo ni neg- basi waache kufungua kesi, badala yake wajibu kero za wabongo maskini
 
Msomi mzima hana akili, naye anasimama kwenye jukwaa tena nyumbani kwao anachochea vijana wake wa kazi kuuwa. Kwa nini hao akina Mbowe hatusikii wakiuawa huko kwao?

Mwingulu huna hata chembe ya haibu yani umekodi watu wachafue mkutano sasahivi unajidai kujikosha huonekane mwema.

Uzuri hakuna hasiye kufahamu kwa unafiki.

Kila mtu ana tambua wewe ndio msomi wa mauaji first class.

Kuthibitisha hilo ni kwamba kila unapo tia mguu lazima damu imwagike! Kwanini siyo wengine ni wewe mwingulu.
Mwingulu ina kubidi ukatubu una laana ina kuandama!
 
Katika kile kinachoonekana ni vita sasa kati ya serikali na CDM jeshi la polisi nchini limeamua kumfungulia mashtaka mhadhiri wa chuo kikuu cha DSM na mjumbe wa Kamati kuu CDM Dr Kitila Mkumbo kwa kile wanachodai ni uchochezi wake aliofanya siku alipohutubia mkutano katika kata ya Ndago jimbo la Iramba Magharibi.
Wachunguzi wa mambo wanadai mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba ameapa kutumia kila njia kumzuia Dr Kitila Mkumbo asipate nafasi ya kugombea katika jimbo hilo hasa kutokana na kuwa Dr Kitila ni chaguo la wanaIramba wengi na ana heshima kubwa huki kwao hasa kutokana na hekima na busara zake anapozungumza.

Source: ITV (Dondoo za gazeti la Nipashe la Ijumaa)

Sirikali au serikali weka wazi. CCM nacho chama!!! Kimeoza.
 
Unaweza kuzuia ukweli lakini kumbuka huwezi kuzuia matokeo ya ukweli wenyewe. CCM hata wafanye nini hawawezi kuzuia changes katika Tanzania. Wao ni nani? CDM wana Mungu CCM wana pesa.
 
Katika kile kinachoonekana ni vita sasa kati ya serikali na CDM jeshi la polisi nchini limeamua kumfungulia mashtaka mhadhiri wa chuo kikuu cha DSM na mjumbe wa Kamati kuu CDM Dr Kitila Mkumbo kwa kile wanachodai ni uchochezi wake aliofanya siku alipohutubia mkutano katika kata ya Ndago jimbo la Iramba Magharibi.
Wachunguzi wa mambo wanadai mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba ameapa kutumia kila njia kumzuia Dr Kitila Mkumbo asipate nafasi ya kugombea katika jimbo hilo hasa kutokana na kuwa Dr Kitila ni chaguo la wanaIramba wengi na ana heshima kubwa huki kwao hasa kutokana na hekima na busara zake anapozungumza.

Source: ITV (Dondoo za gazeti la Nipashe la Ijumaa)

Ijumaa ya lini au wewe unafanya kazi nipashe? leo Alhamisi
 
nahisi asiye na akili ni wewe unaekurupuka na kuongea usichokielewe,,, Dr Kitila alisimama kuongea wakati vurugu zimeshamalizika, na kauli yake ya kwanza ilikuwa ni kushangaa vurugu hizo kwa kusema wanyiramba hatujawahi kuwa wahuni na kwamba hizi vurugu za leo zimeichafua Iramba...usikurupuke kama umefumaniwa na kuropoka ovyo!!!

Nilichogundua ni kwamba mwigulu chemba na vibaraka wake ni mabogus kuliko watumwa wa lumumba.
Uongo wao hauwafikishi popote, kila wakitunga wananaswa muda huo huo.
 
Back
Top Bottom