Hii ni kwa wana-CHADEMA tu

Account za cdm kulingana na tovuti yake: www.chadema.or.tz
NBC Corporate Branch (Local currency) 011103010075
NBC Samora Branch (Foreign currency) 012105019310
Pia kuna ile ya kutuma neno CHADEMA kwenda 15710 ambayo ni Ths 350/= kwa sms.
Nashauri CDM ifungue pia account katika NMB na CRDB kwani hizo ndio benki wanazomudu walalahoi.
 
Ndugu zangu wana CHADEMA( nasisitiza ni chadema tu) matokeo ya Igunga yamenifanya nije na wazo. Huu si wakati wa sie kutulia na kuacha hili jambo linapita bila kulifanyia kazi.

Kifupi ushauri wangu harakati za chama ziendelee chini ya viongozi hapo wilayani kwa kuimarisha chama kama walivyoshauri watu wengi mikutano mijini na vijijini watu wapewe elimu ya uraia.

Kukubalika kwa CHADEMA kumenistua sana na hili jambo lisiachwe hivi hivi, mwalimu aendelee na mikutano ya kushukuru wananchi na kuendelea kuwapa taarifa wale 22000 na zaidi ambao hawaitaki CCM.

Wana CHADEMA tuwe tayari kusapport juhudi kama hizi. Maeneo mengine wameweza kwa kutumia michango toka kwa wanachama na changizo mbalimbali. Hili linawezekana wana CHADEMA tujitoe hata kwa mali ili ukombozi upatikane.

Naomba kuwasilisha

Kujitolea kwa wana cdm huwa ni kugumu sana , na wengi wao ni watu wa kupenda vitu vya bure bure km ilivyo sera yenu !
 
Account za cdm kulingana na tovuti yake: www.chadema.or.tz
NBC Corporate Branch (Local currency) 011103010075
NBC Samora Branch (Foreign currency) 012105019310
Pia kuna ile ya kutuma neno CHADEMA kwenda 15710 ambayo ni Ths 350/= kwa sms.
Nashauri CDM ifungue pia account katika NMB na CRDB kwani hizo ndio benki wanazomudu walalahoi.

Mie hizo zote nazijua , hizo akaunti hazina kitu hv sasa hela yote iliishia igunga mkuu ! waulizeni watu wa benki hizo watawaambia
 
hili ni jambo zuri sana, ni wajibu wa kila mpenda mabadiliko na demokrasia ya kweli achangie, hatuwezi wote kwenda kutoa hiyo elimu ya uraia ila michango yetu itatuwakilisha.
Hatutaingia barabarni ila sanduku la kura litatumika, Mungu ibariki Tanzania ili tume huru ya uchaguzi ipatikane na mabadiliko chanya yaweze kutokea cause tumechoka.
 
Mie hizo zote nazijua , hizo akaunti hazina kitu hv sasa hela yote iliishia igunga mkuu ! waulizeni watu wa benki hizo watawaambia
Tumekubaliana wasio na hoja ya msingi hatuwajibu. Hili swala ni muhimu tuko tayari kuchangia. Mimi niko mbali Karagwe vijijini,ukweli elimu ya uraia ni muhimu sana. Fanyafanya tuchangie. Anzisha na tawi hapa JF. Asante nawasilisha.
 
Account za cdm kulingana na tovuti yake: www.chadema.or.tz
NBC Corporate Branch (Local currency) 011103010075
NBC Samora Branch (Foreign currency) 012105019310
Pia kuna ile ya kutuma neno CHADEMA kwenda 15710 ambayo ni Ths 350/= kwa sms.
Nashauri CDM ifungue pia account katika NMB na CRDB kwani hizo ndio benki wanazomudu walalahoi.

asante nimetuma sms kwenye namba hiyo kupitia voda je ni mitandao yote naweza tumia? nisije ingia choo cha kiume maana nataka nitume sms nyingi kadri ya uwezo wangu nataka kuongea kwa vitendo sasa
 
Kumbe ukitulia una mawazo mazuri hivi?
Pamoja daima

Ndugu zangu wana CHADEMA( nasisitiza ni chadema tu) matokeo ya Igunga yamenifanya nije na wazo. Huu si wakati wa sie kutulia na kuacha hili jambo linapita bila kulifanyia kazi.

Kifupi ushauri wangu harakati za chama ziendelee chini ya viongozi hapo wilayani kwa kuimarisha chama kama walivyoshauri watu wengi mikutano mijini na vijijini watu wapewe elimu ya uraia.

Kukubalika kwa CHADEMA kumenistua sana na hili jambo lisiachwe hivi hivi, mwalimu aendelee na mikutano ya kushukuru wananchi na kuendelea kuwapa taarifa wale 22000 na zaidi ambao hawaitaki CCM.

Wana CHADEMA tuwe tayari kusapport juhudi kama hizi. Maeneo mengine wameweza kwa kutumia michango toka kwa wanachama na changizo mbalimbali. Hili linawezekana wana CHADEMA tujitoe hata kwa mali ili ukombozi upatikane.

Naomba kuwasilisha
 
Chadema punguzeni maneno, jazba, na upotoshaji!
Jitahidini kukijenga chama kwa mambo mazuri, doctor Slaa alikubalika kutokana na mchango wake, sasa kuna wa2 mnataka kukuharibu chama
 
vijijini kuna kazi kubwa ya kufanya'kuwaelimisha sio jambo la mchezo'tujitolee kwa hali na mali
 
Kweli kabisa, nimeumia sana magamba kuchukua jimbo. Naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom